sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Wanasema kutoa ni moyo na kama wanadamu tunatakiwa kusaidiana wakati wa majanga.
Kesho chadema wanaingia kufanya maandamano bila ya kuwa na kibali licha ya katazo ya jeshi la polisi hapa kuna kila dalili ya watu kupata ulemavu wa kudumu, kuvuja damu nyingi sana hivyo kwa uungwana niliokuwa nao nimejitolea kuchangia damu waandamanaji na ninaomba anaeguswa na uhitaji wa wa damu 23 September tuwasiliane tuone namna ya kufikisha damu kwa wahanga.