Nimejiuliza sana hili swali kuhusiana na Jf

Mkuu nimeipenda sana hii, kumbe kuna mgawo wa majukumu? asante kwa kunijulisha mkuu.
 
Bora km huna mada ya kuongea au km huna mawazo ya kukoment unyamaze tu kuliko kupayuka maneno yasiyo na maana yyte
 
Bora km huna mada ya kuongea au km huna mawazo ya kukoment unyamaze tu kuliko kupayuka maneno yasiyo na maana yyte
Kweli mkuu, umenena vyema.Ukasuku ndio chanzo cha ugomvi na bans zisizo na msingi.
 
mfano wewe mtoa mada una ID 2 hili laweza kuwa ama lisiwe, mimi nna 3 kuna member 2 nawajua kila mmoja ana 2 nnazojzijua na ni maarufu hapo jiongeze tu kimahesabu (JOKE)
 
Akifa hutomuona akichangia humu
We wacha uongo!
Mboni thithi tunapostiga tu hata
Wakati tulishakufaga cku nyingi[emoji102]
 
watu wana ID zaidi ya moja humuu, na ni almost 70% of JF members
We wacha uongo!
Mboni thithi tunapostiga tu hata
Wakati tulishakufaga cku nyingi[emoji102]
mfano wewe mtoa mada una ID 2 hili laweza kuwa ama lisiwe, mimi nna 3 kuna member 2 nawajua kila mmoja ana 2 nnazojzijua na ni maarufu hapo jiongeze tu kimahesabu (JOKE)
Multiple ID siyo issue wakuu...huko ni kutokujiamini...watu tutakuja kuingia vyoo visivyo vyetu.
 
Kua na I'd zaidi ya moja ni dalili ya kutokujiamini, pia kwa yeyote mwenye I'd inayo pita moja lazima kuna vitu visivyo wema anakua anavificha.
I'd zaidi ya moja ni utoto, wizi, upuuzi na ujinga uliopita kiwango cha kawaida
Naunga mkono hoja
 
Humu mpaka Magufuli yupo anachunguliachungulia kuangalia upepo unavyoenda.
Tobah! ni jambo linalowezekana kabisa Mkuu....Kwa hizi fake IDs siyo ajabu wewe ndiye JPM mwenyewe,....hahahaa Just joking.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…