MJUMBE WA AMANI
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 262
- 238
- Thread starter
- #41
Mkuu nimeipenda sana hii, kumbe kuna mgawo wa majukumu? asante kwa kunijulisha mkuu.MJUMBE WA AMANI iko hivi
Pamoja na kwamba kuna members wote hao lakini wamejigawa automatically kutokana na mapenzi yao
-kuna ambao kazi yao ni kuchangia tu
-kuna ambao kazi yao ni kulike tuu
-kuna ambao kazi yao ni kusoma tuu
-kuna ambao kazi yao ni kuanzisha mada tu
Halafu kuna ambao utamkuta kwenye yote hayo hapo juu au baadhi yake