Nimejua kazi ya baba yangu

Ishukuriwe sana serikali ya awamu ya tano kwa kumuwezesha mzee wako kuwa na kazi
Magu oyeee!!!
 
Write your reply...Hahahaaaaq umenichekesha sana aisee
 
Umetumia mbinu gani kujua kuwa hakika baba ni jambazi kweli, je mama nae anafanya shughuli zipi
 
Saidia polisi kuwa whistle blower jitoe mwanga mtie mzee mikononi mwa polisi
 
Tangulia milembe mwenyewe kwa huo ujasiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…