Finegirlone
JF-Expert Member
- Oct 9, 2018
- 1,836
- 3,609
Muombe kwa Mungu amlinde dhidi ya mapolisi na raia wenye hasira kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ampatie na mafao bila kikokotoo.Pambana upate kazi nzuri baba astaafu kazi yake
Jaribu kutafuta ujue na mama yako anafanya kazi gani?
Haha dingi ampe mtaji,atapata mafao yake akistaafuPambana upate kazi nzuri baba astaafu kazi yake
Jaribu kutafuta ujue na mama yako anafanya kazi gani?
Nyie watu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pambana upate kazi nzuri baba astaafu kazi yake
Jaribu kutafuta ujue na mama yako anafanya kazi gani?
Umetumia mbinu gani kujua kuwa hakika baba ni jambazi kweli, je mama nae anafanya shughuli zipiBaada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani
Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k
Lakini hii likizo nimejaribu kufuatilia kwakuwa nimeshakua na nimegundua baba yangu ni jambazi
Saidia polisi kuwa whistle blower jitoe mwanga mtie mzee mikononi mwa polisiBaada ya kusomeshwa from primary mpaka chuo bila kujua mzee ana kazi gani
Mzee alikuwa mtu wa safari sana na aliniambia zilikuwa safari za makampuni kama UNDP n.k
Lakini hii likizo nimejaribu kufuatilia kwakuwa nimeshakua na nimegundua baba yangu ni jambazi