Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

Tunasubiri sehemu ya pili yenye matukio mpaka unampiga mimba na kumtelekeza
 
kati ya wewe na mdogo wako nani mdogo?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Alikudanganya hanA smartphone Wala hatumii social media2018 na ww ukakubali???
Naomba tusikitike kidogo KWA huzuniπŸ˜’πŸ˜‚
Duuh pole sana
 
Upo addicted na io mambo nini? πŸ˜† Nligusa kama mara kadhaa tu mana ni mtu anaejifanya ana misimamo Sanaa
Kwahiyo kuuliza mnyanduano ndiyo nipo addicted mkuu? Sasa story nzima ya mahusiano bila mnyanduano huwa naona kama haijakamilika hiviπŸ˜€πŸ˜€ ila kama ulipiga mambo mara kadhaa si mbaya πŸ˜‰
 
Upo addicted na io mambo nini? [emoji38] Nligusa kama mara kadhaa tu mana ni mtu anaejifanya ana misimamo Sanaa
Hivi wewe si ndo ulichapwa kule meru bado hukakoma tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
AhahaπŸ˜… ni kwel mana nlifuatilia kwa marafiki zake na dogo kwa kweli sikumuona ila baada ya kumaliza school ndo nlianza kumuona huko.
 
Sasa mkuu mnakua kwenye mahusiano bila mnyanduano kwamba ni ndugu yako huyoo aarh πŸ˜€πŸ˜€
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜‚ amna boss n muhimu sanaa, nlimnyandua kama mara kadhaa baadae akaja kuwa mbogo ukimgusa tu anapandsha mashetani
 
Alikudanganya hanA smartphone Wala hatumii social media2018 na ww ukakubali???
Naomba tusikitike kidogo KWA huzuniπŸ˜’πŸ˜‚
Duuh pole sana
Nadhan hakunidanganya mana hata hali ya maisha yao ilikuwa na kawaida tu.
 
Kumbe ndo ilivyokua' ndomana nkashangaa why hukunitafuta kumbe winny mie nilibadilishiwa gia nagano mwe πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…