Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

Nimekaa kwenye mahusiano miezi 7 na mtu ambaye sikudhania

Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki zake wengi wakiume na wakike pia. Kwa kweli ni mtu wa watu. Kwa hili: , Dogo popote ulipo kaka yako Gepard nakukubali🤝. Nakumbuka alinitambulisha kwa marafiki zake wa kike zaidi ya 50, kina Eliza, Neema, Winny(huyu ndio nlichanganya jina lake nikamkumbuka Kama Queen), Veronica nk. Ila kwa kweli Winny nlivutiwa nae, sikutaka kuonesha kama nlimpenda kwa mda ule ila moyoni nlisema ntatafuta mawasiliano nae. Kumbe jina nlichanganya hakuwa Queen alikuwa ni Winny ila pia alikuwepo mwanafunzi alieitwa Queen. Baada ya miezi kupita nkamuomba dogo namba ya Queen ila kiuhalisia ni Winny ndio nlikuwa namaanisha. Baada ya kupata namba nliwasiliana nae na kumpiga sound akanielewa mana alinifahamu kupitia dogo. Nakumbuka hakuwa na smartphone wala social media hakuwepo. Stress za mapenzi tulishare, shida na raha. Kunitambulisha kwa wadogo zake na marafiki zake. Siku tunakutana baada ya yeye kumaliza form 6 kumbe sio niliekuwa namdhania ila mwingine kabisa ambae sikutegemea na alikuwa mzuri zaidi ya nliokuwa namfikiria. baada ya kumuona tu nlipigwa na butwaa Kwanzaa, nkamuambia ndio wewe akanambia hunijui kwani? Nkasema nmeshakukumbuka ila umebadilika dear moyoni nkijua kabisa sio yeye. Nlijiadjust tu story nyingi huku furaha ya kupindukia nlikuwa nayo. tulikaa kwenye relationship baada ya kuzoeana nlimueleza kisa chote akabak anatabasamu tu na kusema ni Kama alijua. Pia alikiri kuwa hata yeye alipata waswas nyuma kwa kuwa aligundua kama nlimchanganya kutokana na mazungunzo yangu. Kuna siku aliniambia hv Mimi nipoje nakumbuka nlitoa maelezo ya Winny asilimia zaid ya 50 sema Kuna vitu tu walishare But haikuwa suala kwake maana alinipenda pia Wala hakutaka kunipoteza.
Tunasubiri sehemu ya pili yenye matukio mpaka unampiga mimba na kumtelekeza
 
Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki zake wengi wakiume na wakike pia. Kwa kweli ni mtu wa watu. Kwa hili: , Dogo popote ulipo kaka yako Gepard nakukubali[emoji1666]. Nakumbuka alinitambulisha kwa marafiki zake wa kike zaidi ya 50, kina Eliza, Neema, Winny(huyu ndio nlichanganya jina lake nikamkumbuka Kama Queen), Veronica nk. Ila kwa kweli Winny nlivutiwa nae, sikutaka kuonesha kama nlimpenda kwa mda ule ila moyoni nlisema ntatafuta mawasiliano nae. Kumbe jina nlichanganya hakuwa Queen alikuwa ni Winny ila pia alikuwepo mwanafunzi alieitwa Queen. Baada ya miezi kupita nkamuomba dogo namba ya Queen ila kiuhalisia ni Winny ndio nlikuwa namaanisha. Baada ya kupata namba nliwasiliana nae na kumpiga sound akanielewa mana alinifahamu kupitia dogo. Nakumbuka hakuwa na smartphone wala social media hakuwepo. Stress za mapenzi tulishare, shida na raha. Kunitambulisha kwa wadogo zake na marafiki zake. Siku tunakutana baada ya yeye kumaliza form 6 kumbe sio niliekuwa namdhania ila mwingine kabisa ambae sikutegemea na alikuwa mzuri zaidi ya nliokuwa namfikiria. baada ya kumuona tu nlipigwa na butwaa Kwanzaa, nkamuambia ndio wewe akanambia hunijui kwani? Nkasema nmeshakukumbuka ila umebadilika dear moyoni nkijua kabisa sio yeye. Nlijiadjust tu story nyingi huku furaha ya kupindukia nlikuwa nayo. tulikaa kwenye relationship baada ya kuzoeana nlimueleza kisa chote akabak anatabasamu tu na kusema ni Kama alijua. Pia alikiri kuwa hata yeye alipata waswas nyuma kwa kuwa aligundua kama nlimchanganya kutokana na mazungunzo yangu. Kuna siku aliniambia hv Mimi nipoje nakumbuka nlitoa maelezo ya Winny asilimia zaid ya 50 sema Kuna vitu tu walishare But haikuwa suala kwake maana alinipenda pia Wala hakutaka kunipoteza.
kati ya wewe na mdogo wako nani mdogo?

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Mwaka 2018 nlienda kumsalimia dogo wangu wa kiume shuleni kwao boarding. Kipindi hicho nipo chuo mwaka wa pili. Tulipiga story sanaa na kuzunguka mazingira ya shule, akanitambulisha kwa marafiki zake wengi wakiume na wakike pia. Kwa kweli ni mtu wa watu. Kwa hili: , Dogo popote ulipo kaka yako Gepard nakukubali🤝.

Nakumbuka alinitambulisha kwa marafiki zake wa kike zaidi ya 50, kina Eliza, Neema, Winny(huyu ndio nlichanganya jina lake nikamkumbuka Kama Queen), Veronica nk. Ila kwa kweli Winny nlivutiwa nae, sikutaka kuonesha kama nlimpenda kwa mda ule ila moyoni nlisema ntatafuta mawasiliano naye.

Kumbe jina nlichanganya hakuwa Queen alikuwa ni Winny ila pia alikuwepo mwanafunzi alieitwa Queen. Baada ya miezi kupita nkamuomba dogo namba ya Queen ila kiuhalisia ni Winny ndio nlikuwa namaanisha. Baada ya kupata namba nliwasiliana nae na kumpiga sound akanielewa mana alinifahamu kupitia dogo.

Nakumbuka hakuwa na smartphone wala social media hakuwepo. Stress za mapenzi tulishare, shida na raha. Kunitambulisha kwa wadogo zake na marafiki zake. Siku tunakutana baada ya yeye kumaliza form 6 kumbe sio niliekuwa namdhania ila mwingine kabisa ambae sikutegemea na alikuwa mzuri zaidi ya nliokuwa namfikiria. baada ya kumuona tu nlipigwa na butwaa Kwanzaa, nkamuambia ndio wewe akanambia hunijui kwani?

Nikasema nmeshakukumbuka ila umebadilika dear moyoni nkijua kabisa sio yeye. Nlijiadjust tu story nyingi huku furaha ya kupindukia nlikuwa nayo. tulikaa kwenye relationship baada ya kuzoeana nlimueleza kisa chote akabak anatabasamu tu na kusema ni Kama alijua.

Pia, alikiri kuwa hata yeye alipata waswas nyuma kwa kuwa aligundua kama nlimchanganya kutokana na mazungunzo yangu. Kuna siku aliniambia hv Mimi nipoje nakumbuka nlitoa maelezo ya Winny asilimia zaid ya 50 sema Kuna vitu tu walishare But haikuwa suala kwake maana alinipenda pia Wala hakutaka kunipoteza.
Alikudanganya hanA smartphone Wala hatumii social media2018 na ww ukakubali???
Naomba tusikitike kidogo KWA huzuni😢😂
Duuh pole sana
 
Upo addicted na io mambo nini? [emoji38] Nligusa kama mara kadhaa tu mana ni mtu anaejifanya ana misimamo Sanaa
Hivi wewe si ndo ulichapwa kule meru bado hukakoma tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ahaha😅 ni kwel mana nlifuatilia kwa marafiki zake na dogo kwa kweli sikumuona ila baada ya kumaliza school ndo nlianza kumuona huko.
 
Sasa mkuu mnakua kwenye mahusiano bila mnyanduano kwamba ni ndugu yako huyoo aarh 😀😀
😅😅😂 amna boss n muhimu sanaa, nlimnyandua kama mara kadhaa baadae akaja kuwa mbogo ukimgusa tu anapandsha mashetani
 
Alikudanganya hanA smartphone Wala hatumii social media2018 na ww ukakubali???
Naomba tusikitike kidogo KWA huzuni😢😂
Duuh pole sana
Nadhan hakunidanganya mana hata hali ya maisha yao ilikuwa na kawaida tu.
 
Kumbe ndo ilivyokua' ndomana nkashangaa why hukunitafuta kumbe winny mie nilibadilishiwa gia nagano mwe 😂
 
Back
Top Bottom