Huku hapana.
Mim siamin kuwa Mtu anaweza akawa single single kabisa,Hakuna raha kama hiyo duniani mama, hebu achilia moyo huo upende.
Sijui kwanini tu sijawahi kuwa single[emoji144][emoji144][emoji144]
Mim siamin kuwa Mtu anaweza akawa single single kabisa,
Labda kwa dk kadhaa, Mahusiano sikuhiz kuyaanzisha ni dk 0 tu.
Hahahahaaa. Usiwe single ni maumivu mama
Mim huyo[emoji125] [emoji125]Haya haya
bado tunaombolezaHayaa
Hahahahahaaa. Niko single kwenye moyo sio kwenye mwili mkuu.
Shida yangu nausikiliza Sana moyo wangu
Anza kutumia ubongo na si moyo kwenye maamuzi ya mapenzi. Watoto 15-25 waache watumie moyo, akili ikikua unatumia ubongo badala ya hisia(moyo).Shida yangu nausikiliza Sana moyo wangu
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Mkuu naomba uchukue balimi baridi [emoji23]Anza kutumia ubongo na si moyo kwenye maamuzi ya mapenzi. Watoto 15-25 waache watumie moyo, akili ikikua unatumia ubongo badala ya hisia(moyo).