Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Hakuna raha kama hiyo duniani mama, hebu achilia moyo huo upende.

Sijui kwanini tu sijawahi kuwa single[emoji144][emoji144][emoji144]
 
Hakuna raha kama hiyo duniani mama, hebu achilia moyo huo upende.

Sijui kwanini tu sijawahi kuwa single[emoji144][emoji144][emoji144]
Mim siamin kuwa Mtu anaweza akawa single single kabisa,
Labda kwa dk kadhaa, Mahusiano sikuhiz kuyaanzisha ni dk 0 tu.
 
Hakuna raha kama hiyo duniani mama, hebu achilia moyo huo upende.

Sijui kwanini tu sijawahi kuwa single[emoji144][emoji144][emoji144]
Hahahahaaa. Usiwe single ni maumivu mama
 
Hahahahahaaa. Niko single kwenye moyo sio kwenye mwili mkuu.

Hata huyo uliyemuona ni kama wewe wamebebishana kimwili kiroho kila mtu yuko kwingine kabisa. wanawake tushawazoea ujambazi wenu.mi staki hizo beb zenu ziko expensive
 
Dawa ya Moto ni Moto sio maji.
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
 
Back
Top Bottom