Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahahaha kakumbatie mto
Yani ni mapicha picha tu. Chaaaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani ni mapicha picha tu. Chaaaa.
Kweli et jaman my dada.Hapa ni hadharan snMmmmmh kaka
Fanya mpango na wewe wakuonee wivu.Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Kwahali hio....kama kumsukuma mlevi!Konyooo. Bahati mbaya ni kwamba hata ingekua promo kupata chance sio jambo rahisi.
Pesa Mama, natafuta pesaNani kakuteka we baba jamani nakumiss mm
Wewe na mtoa mada matatizo yenu yanafanana, mnaweza kusaidiana kutatuaYani hili tatizo linanisumbua ni miezi 3 ss na nashindwa nifanye nn?
Mpango gani zaidi ya huu wa kueleza tatizo lake? Hapa kilichobaki ni mtu ajitokeze kutatua tatizoFanya mpango na wewe wakuonee wivu.
Pesa Mama, natafuta pesa