Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Sijui kwanini namimi navutiwa sana kusoma thread za mabinti walio single kama wewe

Nipeni mke nioe
 
Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Fanya mpango na wewe wakuonee wivu.
 
Back
Top Bottom