Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaaa. Leo katuma message jamani kwenye kitorch.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaaa. Leo katuma message jamani kwenye kitorch.
Kadhalika hii pia naihifadhi.Itunze tu tena dushe ndio ipo active mkuu
Hahaha kwahiyo ulitakaje etiMpunga upo tatizo nasikitika tabia yako ya uaminifu uliokithiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Max mi binafsi namshukuru sana kwa JF hii aliyotuletea
umchune kwanza huyu jamaa wa nusu saa rrondoNjoo wewe bebe
Kadhalika hii pia naihifadhi.
Hahaha kwahiyo ulitakaje eti
Mechi moja matata katika uwanja neutral
Usijali bibie hii kazi sijaianza leo,huu ni muendelezo tu.Sasa utahifadhi vingapi
Kwani kuna tatizo ?Sasa utahifadhi vingapi
Ndo hivyo usiwe mzalendo kupita kiasiEeenh
duniani fair haipo kabisa watu wanabembelezwa kwenda PM, wengine wanasalimia mwezi mzima buyu tuu.. mi nilipo amua kua Certified hater watu hawakunielewa tu aisee nilimaanisha niniEmbu njoo pm
duniani fair haipo kabisa watu wanabembelezwa kwenda PM, wengine wanasalimia mwezi mzima buyu tuu.. mi nilipo amua kua Certified hater watu hawakunielewa tu aisee nilimaanisha nini
Ndo hivyo usiwe mzalendo kupita kiasi
Kwani kuna tatizo ?
We mtumie mpunga wa Supu ya samaki asubuhi utaitwa PM harakaduniani fair haipo kabisa watu wanabembelezwa kwenda PM, wengine wanasalimia mwezi mzima buyu tuu.. mi nilipo amua kua Certified hater watu hawakunielewa tu aisee nilimaanisha nini
Usijali bibie hii kazi sijaianza leo,huu ni muendelezo tu.
Poa.Sawa mkuu
Jitahidi aiseeSawa mkuu wangu nitafata ushauri wako