Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Nimekaa na Couple Inabebishana Hadi Naona Wivu

Kukaa single muda mrefu kunaleta karoho Fulani ka Husda hivi. Hii kapo naionea wivu live. Inanikumbusha enzi Niko in love na my college sweetheart.
Haki kubebishana kwao kumenifanya nigutuke nachokimiss kwa kutokua na Bebe.
Pambana na hiyo hali kwa kufuata haya,,,
Moja wacha jeuri kwani jeuri si uungwana,,
 
Back
Top Bottom