Nimekaa na wasichana kibao nimeagiza chipsi yai wao wameagiza ugali naona aibu kula.

Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.

Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.

Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.

Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.

Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .

Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.
Mimi sidhani kama ni tatizo wewe kuagiza ulichotamani kula ati kwa kuogopa 'wadada' watakucheka. Kwenye maisha ni vema kuamua kuishi upendavyo wewe kwa kile unachoweza kukimudu. Hata kama wao wangeagiza mvinyo ghali wewe kama una kiu ya maji agiza na uyanwe kwa kujiamini. Grow up!
 
Yani unga na maji ndiyo kinaonekana chakula cha kwa wanaume na viazi ni chakula cha wanawake.
 
Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.

Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.

Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.

Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.

Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .

Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.
Dooh huo msala kweli mkuu...
 
Kila kukicha wanaume tunazidi kupungua dadeq. Hivi vitoto vya 1985 mpaka leo vinashida sana
 
Kwahiyo uliweka Mayonaizi kabla hujaletewa?. Pangilia vizuri uongo wako.
 
Kula ni kula tu Kisandu kwa kuwa umetoa hela yako hakuna la ajabu hapo.

Ila nikwambie tu mwanaume wa kweli hali chipsi hata kama anakula basi kwa hamu.
teh teh teh... hii yako haina tofauti na kusema ni sawa ulichofanya lakini umekosea kabisa
 
Kula ni kula tu Kisandu kwa kuwa umetoa hela yako hakuna la ajabu hapo.

Ila nikwambie tu mwanaume wa kweli hali chipsi hata kama anakula basi kwa hamu.
Ndio tatizo wanawake, vitu vitamu vyote mnafikiri vimeumbwa kwa ajili yenu, nasema hivi tutabanana hukohuko kwenye chipsi na baga, ugali watakula wanaume wa mkoani
 
Hahaha. Na sisi wanaume wa mikoani tunasema hivi "tunadivert" fuso za mbeya na njombe zisifike Dar
 
Back
Top Bottom