Osako
Member
- Oct 31, 2017
- 69
- 70
Mkuu ni vitoto vya 1990 mpaka sasa ndo wana matatizoKila kukicha wanaume tunazidi kupungua dadeq. Hivi vitoto vya 1985 mpaka leo vinashida sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ni vitoto vya 1990 mpaka sasa ndo wana matatizoKila kukicha wanaume tunazidi kupungua dadeq. Hivi vitoto vya 1985 mpaka leo vinashida sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakulaje chipsi sasaYaan umerusha jiwe gizani ujue
Hahaaa.Ndio tatizo wanawake, vitu vitamu vyote mnafikiri vimeumbwa kwa ajili yenu, nasema hivi tutabanana hukohuko kwenye chipsi na baga, ugali watakula wanaume wa mkoani
Huyu na Babu yake Mtemi Kisandu wote wa Mwanza!Bila shaka we ni wa dar halafu umekutana na mademu wa mkoa, hapo lazima ulegee
Mara moja moja sio mbaya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unakulaje chipsi sasa
Sawa shemejiMara moja moja sio mbaya
Dar sehemu gani? Kibiti au?Wote tunakaa daar
Hivi mkuu kesi yako inaendeleaje, nasikia walijuweka lockupumepata dhamana nini! nadhani utakuwa umejirekebisha hadi ID yako humu umeibadili na hata lugha walau kidogo inaeleweka...mchizi Mwl. Deogratius Nalimi Kisandu mwehuMimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.
Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.
Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.
Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.
Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .
Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.
HONGERA MKUUHaa! Aibu ya nin? Mimi kuna dem ili nimpate nililazimika kutoa ofa ya chipsi mishkaki na vinywaji kwa mashost zake 14 kwenye pub flan maeneo ya Mcity. Aliniambia kama simtaki basi nisitimize ilo shart.
Mkuu niliunguza mshahara wangu wa kima cha chini hadi nikafanikiwa.