Nimekaa na wasichana kibao nimeagiza chipsi yai wao wameagiza ugali naona aibu kula.

Nimekaa na wasichana kibao nimeagiza chipsi yai wao wameagiza ugali naona aibu kula.

Ndio tatizo wanawake, vitu vitamu vyote mnafikiri vimeumbwa kwa ajili yenu, nasema hivi tutabanana hukohuko kwenye chipsi na baga, ugali watakula wanaume wa mkoani
Hahaaa.
 
Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.

Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.

Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.

Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.

Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .

Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.
Hivi mkuu kesi yako inaendeleaje, nasikia walijuweka lockupumepata dhamana nini! nadhani utakuwa umejirekebisha hadi ID yako humu umeibadili na hata lugha walau kidogo inaeleweka...mchizi Mwl. Deogratius Nalimi Kisandu mwehu
 
Back
Top Bottom