Mimi sidhani kama ni tatizo wewe kuagiza ulichotamani kula ati kwa kuogopa 'wadada' watakucheka. Kwenye maisha ni vema kuamua kuishi upendavyo wewe kwa kile unachoweza kukimudu. Hata kama wao wangeagiza mvinyo ghali wewe kama una kiu ya maji agiza na uyanwe kwa kujiamini. Grow up!Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.
Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.
Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.
Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.
Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .
Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.
Dooh huo msala kweli mkuu...Mimi Kisandu Junior mjukuu wa mzee Nalimi Ismaili leo nimetokewa na jambo ambalo nimepata aibu kidogo.
Nilifika mgaawani nikaagiza chipsi yai nikaweka na mayonaizi juu asa kumbe mulemule alikuwepo demu wangu na mashosti zake wanakula.
Aliponiona akaniita niende nikakae kwenye meza yao.
Walikuwa kama sita na wote waliagiza ugali , ugali samaki, ugali nyama choma nk.
Asa kidume naenda kukaa kulalaleki wanashangaa oda yangu inaletwa naletewa chipsi yai .
Mashosti zake demu walicheka balaa mpaka demu wangu akagombana nao tukaondoka.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Demu wangu ni demu.
Na mimi ni dume
nyie kwenu wote ndio mko hivi...HIVI KWANZA MAANA YAKISANDU NI NINI .. KUNA MTU ALINIAMBIA NI KABURI
Umetoka lini rumande,kisandu ninayemjua mimi anakaa mkolani mwanza,wewe unasema uko dar?,au ni kisandu copy?Wote tunakaa daar
Shem nawe huvumi lakin humoMwanaume wa dar
teh teh teh... hii yako haina tofauti na kusema ni sawa ulichofanya lakini umekosea kabisaKula ni kula tu Kisandu kwa kuwa umetoa hela yako hakuna la ajabu hapo.
Ila nikwambie tu mwanaume wa kweli hali chipsi hata kama anakula basi kwa hamu.
Jaman shemShem nawe huvumi lakin humo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Demu wako jinsia gani?
Na Wewe Mwenye Demu jinsia gani?
Ndio tatizo wanawake, vitu vitamu vyote mnafikiri vimeumbwa kwa ajili yenu, nasema hivi tutabanana hukohuko kwenye chipsi na baga, ugali watakula wanaume wa mkoaniKula ni kula tu Kisandu kwa kuwa umetoa hela yako hakuna la ajabu hapo.
Ila nikwambie tu mwanaume wa kweli hali chipsi hata kama anakula basi kwa hamu.
Hahaha. Na sisi wanaume wa mikoani tunasema hivi "tunadivert" fuso za mbeya na njombe zisifike DarNdio tatizo wanawake, vitu vitamu vyote mnafikiri vimeumbwa kwa ajili yenu, nasema hivi tutabanana hukohuko kwenye chipsi na baga, ugali watakula wanaume wa mkoani
Yaan umerusha jiwe gizani ujueJaman shem
Utakuwa mwanaume wa dar wewe.cc huku n ugali wa dona