Vijana wa kkoo ni vijana wa hovyo πππ
Nilileta kijana kutoka mkoa si mama ntilie mmoja akamuona wa kuja, huyu ana kamba mguuni. Mama ntilie kampa mambo ya kizaramo kijana wangu!!!
Nakuja kushtuka kumbe kuanzia kodi ya nyumba mpk furniture imenunua pesa ya ofisi yangu!!! Na bado alikuwa anapewa pesa za matumizi.
Hao mama ntilie wa kkoo washenzi sana!! Wengine wapo kwa kazi mbili.