Nimekaa nikafikiria, nikaona biashara ya matunda itanifaa zaidi

Sijajua aina ya biashara unayofanya lkn aisee chipkizi usipokua makini watakuharibia aisee!!!

Acha watu wadinyane bn 🍑🍆kwa dar ni tamu sana
Ndio wadinyane nyumbani kwangu?!
Yaani nikisafiri mpk nawaza sijui huko nini kitatokea 😂😂😂
Km vijana wangu wa kazi wananipa presha hivi!!! Vipi nikiwa na watoto wangu wa kuwazaa?!!
 
Haki mnajua kuharibu wadada wa watu
Halafu hiyo tabia ya kuwapa wallet zenu wajichukulie pesa, inasababisha wawadharau wapenzi wao ambao apeche alolo 😂😂😂😂

Kkoo vijana mawinga ni waharibifu sana!!
Mnavunja ndoa za watu
Ujue usajili mpya unakuja yaan kuku wa kienyeji kbs vigezo vyote anavyo unaona kbs huyu akijua kuoga hauzi msosi tena unamuwahi unakula chap chap wiki mbili tena unakua unakaba hadi jioni wasije mchafua baada ya wiki mbili ashajanjaruka unakimbia mapema, kariakoo msambaaa akigusa tu wajuba haturudi hapo🤣🤣wale wajomba wengi ni wagonjwa
 
Ndio wadinyane nyumbani kwangu?!
Yaani nikisafiri mpk nawaza sijui huko nini kitatokea 😂😂😂
Km vijana wangu wa kazi wananipa presha hivi!!! Vipi nikiwa na watoto wangu wa kuwazaa?!!
Watoto kua makini aiseee kama huamini mazingira bora hata uwapeleke kijijini, Mimi ktk suala la watoto npo sensitive sana ikitokea ntahitani mtoto nazaaa na mwalimu 🤒🤒🤒na hata serious dating nadate na walimu tu
 
Kwahiyo na mimi dada ako unanishauri niolewe na nizae na walimu? 🤣🤣🤣
 
Apana ww ni WA kike na suala la malezi kwa sehemu kubwa lipo mikononi mwako, kwangu mm ni ngumu kustay na mtoto npo speed kukimbizana na hela ila kwa sababu mama yao kazi zake hazimbani sana atapata ample time ya kukaaa na mtoto, mwalimu anafanya kazi masaa nane, mwalimu ana advantage ya saikolojia ya malezi kwa watoto 😁😁😁

Nakuibia hii ukiona mshkaji wako anamnyapia madam mpe wiki tatu🤣hawachelewagi kukuchukulia mkopo
 
Hilo ni kweli!! Walimu na manesi wengi wanapendwa sababu wanaume wapate kitonga cha mikopo 😂😂😂
Na walimu wengi wanapenda kuitwa Mrs…..
Ukiwakuta staff room story ni Mr hivi Mr vile 😂😂😂
 
Tupo wateja ambao hatuna hela tutakuita na kukwambia naomba namba yako ya simu ntakushtua nikihitaji matunda usisite kutupa namba yako ndo biashara zenyewe
 
Basi umemaliza bro, winga mwenzangu!!
Umenifurahisha ulivyompa tahadhali kumbe mnajijua tabia zenu, wazee wa usajili mpya 🤣🤣🤣🤣
Mawinga wanaume ndo zao kumbe hizo kkoo, vp mawinga wadada
 
Hilo ni kweli!! Walimu na manesi wengi wanapendwa sababu wanaume wapate kitonga cha mikopo 😂😂😂
Na walimu wengi wanapenda kuitwa Mrs…..
Ukiwakuta staff room story ni Mr hivi Mr vile 😂😂😂
Sema mm sitaki kwa sababu nataka tu advantage ya mtoto tu, mengine atajua mwenyewe, manesi sitaki kbs hao wanakuaga na shift za usiku afu seminar nyingi sijui seminar ya UKIMWI mara magonjwa ya mlipuko mtu hayupo wiki mbili🤒 hata lifestyle lao silikubali Sana Mimi ni mwendo wa walimu nimewaweka kwenye watchlist kama 10
 
Mawinga wanaume ndo zao kumbe hizo kkoo, vp mawinga wadada
🤔 Sijawahi kutana na winga wa kike, sema Kuna Moja alikua akitaka kununua mzigo ananunua kupitia mm maana nlikuwa na ile percent kwa kila carton Moja sikujuaga kama ni winga hata simuelewagi
 
Sema mm sitaki kwa sababu nataka tu advantage ya mtoto tu, mengine atajua mwenyewe, manesi sitaki kbs hao wanakuaga na shift za usiku afu seminar nyingi sijui seminar ya UKIMWI mara magonjwa ya mlipuko mtu hayupo wiki mbili🤒 hata lifestyle lao silikubali Sana Mimi ni mwendo wa walimu nimewaweka kwenye watchlist kama 10
🤣🤣🤣🤣 wewe na walimu, walimu na wewe!!
 
Kesho ntanunua vile vipackage pamoja na deli langu la kuanzia maisha
Hizo package utazikusanya baadae au utawaachia ? Sababu every cent matters kwenye profit unaweza ukajikuta unawafanyia biashara wauza vifungashio.., Mzigo wako utakuwa bei kiasi gani na vifungashio bei ni kiasi gani na je hakuna means ya kuwapatia bila vifungashio ?

Sababu inategemea soko lako kama watu ni price sensitive huenda wasione ile extra ya vifungashio ulivyowapa kwahio kama location yako sio mbali na walaji wapo karibu unaweza ukawa unawapelekea na sahani baadae unazikufanya... Amini Nakwambia..., If you take Care of the Pennies the Dollars will take care of Themselves
 
🤔 Sijawahi kutana na winga wa kike, sema Kuna Moja alikua akitaka kununua mzigo ananunua kupitia mm maana nlikuwa na ile percent kwa kila carton Moja sikujuaga kama ni winga hata simuelewagi
Wapo aisee
 
Kaka utakufa walimu 10, wengine bado unawanyapia!! Wale mama ntilie kule kkoo……?!
Wa kitaani……?! JF….?! Bus ngapi za mkoa tunawajaza?!😂😂😂
Kkoo Sina demu labda ile weekend tunakiwasha yameisha tusijuane tukikumbukana tunakiwasha hvo tu

Kitaaani sihangaikagi sana

Jf 🤔Sina kbs kama yupo ajitokeze haraka sana, Kuna Moja nlimuelewaga nikawa nafuatilia sana michango yake sijui shetani Gani liliniambia chungulia profile yake 🤣nikakuta joined yake ni mwaka ambao naanza form one.....aisee nliiishiwa nguvu nkaaacha mawazo ya kunyapia humu
 
Humu kuna mtu tulikua tunataniana sasa akanifata pm bhana akanitumia pic yake weeeh!! Ni baba mzazi kabisaa 😂😂😂😂
Tena anatungisha mimba yangu huku anavuta sigara!!
 
Back
Top Bottom