Nimekaa nikafikiria, nikaona biashara ya matunda itanifaa zaidi

Nimekaa nikafikiria, nikaona biashara ya matunda itanifaa zaidi

Humu kuna mtu tulikua tunataniana sasa akanifata pm bhana akanitumia pic yake weeeh!! Ni baba mzazi kabisaa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tena anatungisha mimba yangu huku anavuta sigara!!
Sitakaaa nijaribu hata siku moja, sema Kuna Moja kwenye selfika ya mshana๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œatanifanya nioneshe ubabe wangu uliopo absa
 
Watoto kua makini aiseee kama huamini mazingira bora hata uwapeleke kijijini, Mimi ktk suala la watoto npo sensitive sana ikitokea ntahitani mtoto nazaaa na mwalimu ๐Ÿค’๐Ÿค’๐Ÿค’na hata serious dating nadate na walimu tu
wana nini cha ziada walimu...?
 
Pole dada
Uzi wako wameuteka waendesha mikokoteni wa kariakoo wameanza kutongozana
 
1st of all niwashukuru nyoote mliofunguka maoni yenu, truth of all yanatia hamasa na kidogo mtu unapata mwangaza wa kuthubutu

Nimefikia hatua nimeafiki biashara ya kutembeza mchanganyiko wa matunda yaliyokatwa katwa. Hence, siku ya kesho naingia kulangua matunda yangu although nimeshauriwa kuanza na matunda ya 15,000 na best angu hapa. Kesho ntanunua vile vipackage pamoja na deli langu la kuanzia maisha

Jana jioni niliamua kutembelea posta, kariakoo na Sinza kujionea mwenyewe ni wakina nani nitakuwa nawauzia. Very shameful, aibu jamani nyie, but hakuna namna naeza fanya, nitakomaa hivyo hivyo, sijui watanichangia!? [emoji848] They are too busy, yaani zaidi ya busy

Naomba kufahamu:
Wapi ni bora zaidi kulangulia? Mabibo au Buguruni?

Vile vifungashio nitavilangulia wapi kwa bei nafuu?

Nianzie kuzungukia wapi na deli langu, Sinza ama Posta? Jamani msinichoke, I need your presence ili nipate ujasiri, natamani hata muongozane na mimi mnipe moyo

Nakwenda kupita mitaa ya Gaza jamani
Hongera mkuu kwa uamzi huu komaa ila hakikisha haupigwi shoti na ile jinsia nyingine pindi utakapowahudumia.
 
Back
Top Bottom