Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Yes naamini atafanyia kazi huu ushauriDah!! Ataweza kweli sheria zangu za maisha na kujinyima huyu?!!
Hayo matunda aje auzie kkoo atapata wateja wengi, na akiwa na nia ya kupanda ngazi za mafanikio basi aitazame kkoo kwa jicho la tatu.
Yangu ni hayo kwa uchache!!
Akisoma comment yangu kwa umakini atapata kitu.
Huyu mdada anapaswa kuwa supported sababu ameamua kutumia njia hii tofauti na njia wanazotumia kina gigy.
Kama yupo serious, aombe appointment na ww naamini kuna steps atapiga