Nimekaa Pub moja nikipiga moja moto moja baridi

Nimekaa Pub moja nikipiga moja moto moja baridi

Yoranda

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2020
Posts
341
Reaction score
338
Moja kwa moja kwenye mada.

Sina nia ya kudate, lakini naona kumbe wanawake wengine wanawatia aibu wenzao.

Nikiwa napiga kinywaji, danga moja jirani linalazimisha maongezi, nikijilazimisha kuwaza sina hamu ya kupekenyua uchi, nikaliambia sijaja kutafuta uchi, kula au nenda ukadange kwengine, naona ameelewa.

Lakini ujumbe wangu wanaume kuweni Makin na haya madanga. Hili nalijua mwaka sasa, kwa kuwa umri wangu 37 sasa sina mpango wa kupiga viuno, hembu angalieni

Bia ya tisa
 
[emoji871]
IMG_20200615_214726.jpg
 
Upo chupa ya ngapi mkuu mbona muandiko umepinda hivi, are you high???
 
Hapo sasa ya nne imeanza kwa mbali kukolea na uchangamfu tayari na kujiona wewe ni special sana.
 
Back
Top Bottom