JituMirabaMinne
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 3,381
- 9,744
Si watajiua.Wahusika ukiwaonesha hii wanasemaje
Tupeane ujuzi kuhusu eaa website tafadhali 🙏🙏View attachment 3099763
Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari.
View attachment 3099769
Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA.
Gari imeshushwa 120,000Km
sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo.
inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa hiyo mwendo kwa sasa ni huo.
Zipo gari nimekuta zimetembea 200,000Km ila dashboard ina 55,000Km,.
Hapo sijagusia Diagnostic Reports ni majanga matupu, Gari nyingi hapo zilikuwa na faults kuanzia 8 mpaka 20.
Tumeanza kusema siku nyingi usinunue gari kwa Km, tafuta gari nzima hata kama ina 300000Km tulia humo.
Hii gari kabla ya kuangalia odometet ushajua imechoka.View attachment 3099763
Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari.
View attachment 3099769
Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA.
Gari imeshushwa 120,000Km
sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo.
inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa hiyo mwendo kwa sasa ni huo.
Zipo gari nimekuta zimetembea 200,000Km ila dashboard ina 55,000Km,.
Hapo sijagusia Diagnostic Reports ni majanga matupu, Gari nyingi hapo zilikuwa na faults kuanzia 8 mpaka 20.
Tumeanza kusema siku nyingi usinunue gari kwa Km, tafuta gari nzima hata kama ina 300000Km tulia humo.
JituMirabaMinneKuna kitu kikubwa umenifundisha mkuu, kwenye hiyo website ya eaa unaingiza nini kupata data!?, chassis number ya gari!?,tupeane ujuzi tafadhali..
Mbona iliyopo hapo sio Actual distance (sio Odometer readings). Ukiona kuna herufi A au B hiyo ni setting distance (trip distance), actual distance kunakuwa na herufi ODO maana yake Odometer reading.View attachment 3099763
Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari.
View attachment 3099769
Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA.
Gari imeshushwa 120,000Km
sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo.
inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa hiyo mwendo kwa sasa ni huo.
Zipo gari nimekuta zimetembea 200,000Km ila dashboard ina 55,000Km,.
Hapo sijagusia Diagnostic Reports ni majanga matupu, Gari nyingi hapo zilikuwa na faults kuanzia 8 mpaka 20.
Tumeanza kusema siku nyingi usinunue gari kwa Km, tafuta gari nzima hata kama ina 300000Km tulia humo.
Inasikitisha, wanavyofanya ni kucheza na darsh board na kufanya zionekane zina KM ndogo.Si wajajiua.
Nna mfanyakazi amenunua Premio ina 30k akija kwako atalia afe.
Tupeane ujuzi kuhusu eaa website tafadhali 🙏🙏
Hapana mkuu.Mbona iliyopo hapo sio Actual distance (sio Odometer readings). Ukiona kuna herufi A au B hiyo ni setting distance (trip distance), actual distance kunakuwa na herufi ODO maana yake Odometer reading.
Hiyo haibadiliki mkuu
Hata asije, achukue Chassis number aingize EAA alie mwenyewe huko….Si wajajiua.