Nimekagua Gari sita Yard siku ya leo, majanga ni makubwa.

Best way ni kununua Gari direct from Japan , blacks are for the curse ndio maana ni ngumu snaa mataifa yaliyoendelea kufanya business na black .

Kwanza why ununue yard wakati now days unafanya auction huko huko japan online , jamaa hata kama gari ilipata ajali wana indicate any uncommon inakuwa indicated .

Showroom nyingi wananunua magari mabovu na wanakuja kuyaboresha maana ni cheap . Agiza gari direct gharama ni zile zile na unapata quality
 
Fundi ambaye alikuwa ananifanyia service hapa gerezani alikuwa amenionesha Hadi SMS za wauza magari wakimpa dili za kushusha milage..
Wabongo wengi ni wajinga wanahisi gari zenye milage ndogo ndiyo Bora.
Wauza magari hapa DAR ni wahuni Sana hasa kwenye baadhi ya yard za uswahilini
 
Mi nadhani ukitaka kilichonyooka agiza mpya. 0km. Hizi used zetu ukianza kuzikagua sana yatakushinda. Kikubwa angalia yenye unafuu, lipia kavimbe huko.
hakuna cha mpya wala mav
juz kat tunegagiza gar.kumbe bwana ilipata ajali mpaka airbag zikafumuka.wakaja wakaweka masteling sijui huko huko thailand ac nyuma haifany kaz inawaka ya mbele tu. kumbe wame icheat computer wameunga unga nyaya na diode resistor shenz wale.kwenda kufanya alignment ndio jasho jamaa wanasema mark haipo ina mana gar ilikula mzinga mtakatifu. automark tu ndio nawaamin una hela yako nenda pale
 
Gari mpya inapataje ajali?
 
Niwasaidie kwa wale wanaonunua magari yaliyotumika hapa Tanzania unaweza kuhakiki km ya mwisho iliyotembea gari ilipofanyiwa inspection Japan. Nadhani ni kwa magari yaliyoagizwa Japan.

Cha kufanya kama huna chassis number basi tumia Plate Number kuweza kupata chassis number

Kupata Chassis namba kwa gari yenye plate number iliyolipiwa Bima na kuingizwa kwenye mfumo wa Bina tumia TIRAMIS . Utapata Chassis number ya hiyo gari alafu utatumia kuangalia km ya mwisho gari ilipofanyiwa ukaguzi ikiwa Japan, utalinganisha na km zinazoonekana wakati huu na utaangalia gari iliingia nchini mwaka gani ili ufanye uamuzi wa kuinunua ama kuachana nalo.

Hapa chini ni mfano wa kupata Chassis Number kupitia TIRAMIS, ni gari linauzwa lipo Instagram.


 

Pitieni huu uzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…