Nimekamatiwa pikipiki nikiwa naikokota kwenda kwa fundi

Nimekamatiwa pikipiki nikiwa naikokota kwenda kwa fundi

ww jamaa kwelibulipanick sana kukubali kukaguliwa na daywaka wa polis
 
Kutoka kwa fundi ingerudije home kwako? Lipa faini mkuu, mfuko wa Magufuli utune.
kosa ni mpaka pale linapokuwa limefanywa sio eti atalifanya,ukiniudhi nikakasirika nikachukua bastola nikaja kwako nikiwa na mahasira na bastola mkononi nitashtakiwa kwa kuua ikiwa tendo la kuua bado halijafanyika???upande wa pili...unajua kwanini baiskeli haihitaji leseni????
 
Bro. Pole sana, hapa kazi tu. Hebu na mimi nichangie kidogo juu ya jambo hilo. Km ulikuwa unasukuma pkpk polisi waweza kukusimamisha na kukuhoji umiliki wa chombo kwa kukutaka utoe kadi ya pikipiki kwa sababu yawezekana umeiba na wewe huwezi kusndesha umeamua kusukuma. Katika hili Trafik hawezi kukuuliza leseni wala helmet kwakuwa haukuwa umekaa juu ya pkpk na kuiendesha. Japo msukuma pikipiki anaweza khsimamishwa na trafikj kujua ni kwanini unasuma pkpk hasa kama unatumia main road na siyo reserved road, wana haki hiyo kwasabau ni hatari kwako na vyombo vingine kusababisha ajali
hivyo basi kutokana na maelezo yako kwanza tungependa kujua ulikamatwa ukiwa kwenye njia ipi, pia ulikuwa na kadi? Kama hukuwa na kadi basi wala hukustahiki kulipa fine bali pkpk hiyo ilitakiwa kuwa under Police custodian hata utakapoleta kadi hiyo ili kuorove umiliki wako. Hadi hadi issue ya lessen wala helmet hazina mashiko. Hivyo hela hiyo sh. 30000 uliyowapa ni rushwa kwani haikuwa sahihi
 
Niliamua kumaliza sababu nilikuwa na safari ya kurudi chuoni, isingekuwa hivyo kingeeleweka tu.
 
Mimi Polisi Huwa nawaletea shida sana nikimsoma ni mtu wa sifa basi atakomaa ,Polisi anakutishia nini tena yuko kiraia we jamaa bna ulimuomba kitambulisho yani mtu anakuswaga na nguo za kiraia mpaka kituoni ww usije town utaibiwa mpaka Ch*upi , Wasukuma mna ushamba gani aseeee
 
Back
Top Bottom