Bro. Pole sana, hapa kazi tu. Hebu na mimi nichangie kidogo juu ya jambo hilo. Km ulikuwa unasukuma pkpk polisi waweza kukusimamisha na kukuhoji umiliki wa chombo kwa kukutaka utoe kadi ya pikipiki kwa sababu yawezekana umeiba na wewe huwezi kusndesha umeamua kusukuma. Katika hili Trafik hawezi kukuuliza leseni wala helmet kwakuwa haukuwa umekaa juu ya pkpk na kuiendesha. Japo msukuma pikipiki anaweza khsimamishwa na trafikj kujua ni kwanini unasuma pkpk hasa kama unatumia main road na siyo reserved road, wana haki hiyo kwasabau ni hatari kwako na vyombo vingine kusababisha ajali
hivyo basi kutokana na maelezo yako kwanza tungependa kujua ulikamatwa ukiwa kwenye njia ipi, pia ulikuwa na kadi? Kama hukuwa na kadi basi wala hukustahiki kulipa fine bali pkpk hiyo ilitakiwa kuwa under Police custodian hata utakapoleta kadi hiyo ili kuorove umiliki wako. Hadi hadi issue ya lessen wala helmet hazina mashiko. Hivyo hela hiyo sh. 30000 uliyowapa ni rushwa kwani haikuwa sahihi