Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Kuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
Asante mkuuJambo la heri boss. Wengi tupo nyuma yako
Hatawali kwa ridhaa ya mtu yeyote isipokuwa chawa wake!Kuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
Naam, hata chawa wake hawakupiga kura.Hatawali kwa ridhaa ya mtu yeyote isipokuwa chawa wake!
Mimi ni mtanganyikaKuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
Kuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
At least ndio wanaomfanya abaki madarakani.Naam, hata chawa wake hawakupiga kura.
WHO ARE YOU?Kuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
PonjoroWHO ARE YOU?
Kama inakusaidia kupunguza maumivu ni jambo jema ila jua wewe ni Mtanzania na Dr Samia ni rais wako hadi 2030 tena ikiwapendeza wabunge watafanya kitu pale kwenye katiba ili Dr Samia aongezewe miaka mingine 7.
inatuhusu vp sasa, wewe cha muhimu kodi yetu ulipeKuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
Ni wakati ambao waTanganyika wengi sana wataanza kumuelewa kwa kina huyu Mchungaji.