Nimekana rasmi uraia wa Tanzania: Mimi ni Mtanganyika, Samia si Rais wangu

Nimekana rasmi uraia wa Tanzania: Mimi ni Mtanganyika, Samia si Rais wangu

Mimi pia ni mtanganyika ni wakati wa kuikomboa
 
Kwani Kuna shida yyte. Samia ni Rais wa Tanzania si Rais wa mtu
 
Hakuna mtu mwenye utimilifu wa ubinadamu anayeweza kukubali kwa ridhaa yake kuongozwa na muuji. Muuaji yeyote ni wakala wa shetani. Huyo muuaji siyo kiongozi wa mwananchi yeyote zaidi ya wauaji wenzake. Kujishikamanisha kwa namna yoyote ile na muuaji ni kujilaani.
 
Back
Top Bottom