Nimekana rasmi uraia wa Tanzania: Mimi ni Mtanganyika, Samia si Rais wangu

Huko TikTok Kuna uvumi kwamba television ya Taifa itapiga wimbo wa taifa muda wowote kuanzia sasa
Je watu wa mifumo hili ni kweli?
 
Kama inakusaidia kupunguza maumivu ni jambo jema ila jua wewe ni Mtanzania na Dr Samia ni rais wako hadi 2030 tena ikiwapendeza wabunge watafanya kitu pale kwenye katiba ili Dr Samia aongezewe miaka mingine 7.
 
Sema ni wa kwamo , kama una genes za shetani.

Lakini kwa wengine, huyo ni jambazi muuaji. Huko nje anaitwa chinja chinja aliyeigeuzi nchi kuwa nyumba ya damu. Kwa sasa nchi haina rais japo inatawaliwa, sawa na walivyotufanya waarabu na wakoloni wengine.
 
Kuanzia leo nakana uraia wa Tanzania, mimi ni Mtanganyika, naipenda nchi yangu, niko tayari kushiriki katika hatua zote za ujenzi wa nchi yangu pendwa iliyozikwa kwa hila.
inatuhusu vp sasa, wewe cha muhimu kodi yetu ulipe
 
Nauli ya kutoka hapa Hadi Tanganyika ni KIASI gani
 
Hata mimi nikiwa kama Mtanganyika, siwezi kutawaliwa na mtu kutoka nchi nyingine. Huu utakuwa ni upumbavu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…