Hakuna mtu mwenye utimilifu wa ubinadamu anayeweza kukubali kwa ridhaa yake kuongozwa na muuji. Muuaji yeyote ni wakala wa shetani. Huyo muuaji siyo kiongozi wa mwananchi yeyote zaidi ya wauaji wenzake. Kujishikamanisha kwa namna yoyote ile na muuaji ni kujilaani.