Nimekanyaga chungu kilichovunjwa njia panda, sina amani kabisa mpaka sasa

Nimekanyaga chungu kilichovunjwa njia panda, sina amani kabisa mpaka sasa

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.

Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.

Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.

IMG_20211025_084100_696.jpg
 
Hivyo vyungu sherit la kwanza ni kupeleka ukiwa uchi usiku wa manane! [emoji23]

But jisikie amani hakukulenga wewe
Aliyedanganywa kumlenga mtu akaibiwa hapo na kanjanja msaka fursa.
 
Ndio maana nikirudi njia panda Knakuta vitu nilitega havipo kumbe wee unakulaga nyau weee
Kwahiyo unarudi kutazama kama dawa imefanya kazi au laa, basi jua unayempelekea pesa kwa ajili ya hayo mavitu ana kuona zuzu, na Kila mara anakutengenezea mazingira umpelekee fweza🏃.
 
Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.

Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.

Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe😅😅 kisha akaja kupasulia shida zake hapa.

Jitakase kwa Damu ya Yesu Kristo. Hayo yote hayana nguvu mbele ya Yesu Kristo tena unasagasaga kabisha uchafu huo na kuutupa mbali hakuna kitu hapo kama upo na Yesu.
 
Wala usiwaze,nakumbuka tikiwa wadogo, tulikuta nazi zimeandikwa mandishi ya kiarabu njia panda takazitafuna vizuri.
 
Back
Top Bottom