Ramon Abbas
JF-Expert Member
- May 4, 2021
- 1,964
- 3,913
Lazima angechechemaUngekanyaga mavi je?
Angeandika uzi mrefu zaidi ya huu...๐Ungekanyaga mavi je?
Lazima utakufa tu. Aga mapemaWakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.
Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.
Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe๐ ๐ kisha akaja kupasulia shida zake hapa.
Ndio maana nikirudi njia panda nakuta vitu nilitega havipo kumbe wee unakulaga nyau weeeMi huwa natafunaga nikikutaga nazi imevunjwa njia panda
Aliyedanganywa kumlenga mtu akaibiwa hapo na kanjanja msaka fursa.Hivyo vyungu sherit la kwanza ni kupeleka ukiwa uchi usiku wa manane! [emoji23]
But jisikie amani hakukulenga wewe
Kwahiyo unarudi kutazama kama dawa imefanya kazi au laa, basi jua unayempelekea pesa kwa ajili ya hayo mavitu ana kuona zuzu, na Kila mara anakutengenezea mazingira umpelekee fweza๐.Ndio maana nikirudi njia panda Knakuta vitu nilitega havipo kumbe wee unakulaga nyau weee
Jitakase kwa Damu ya Yesu Kristo. Hayo yote hayana nguvu mbele ya Yesu Kristo tena unasagasaga kabisha uchafu huo na kuutupa mbali hakuna kitu hapo kama upo na Yesu.Wakati natembea nikiwa sina hili wala lile nimejikuta nakanyaga haya mazaga katikati ya njia panda.
Kwa kweli nimeghafilika sana! Na hii si mara ya kwanza.
Naona mwamba aliambiwa aweke na chumvi ya mawe๐ ๐ kisha akaja kupasulia shida zake hapa.