Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Hii picha inatembea Facebook na Whattsapp.Wadau hamjamboni nyote?
Je hiyo unaweza kuwa nyama mnyama gani?
Nimekaribishwa ila nimesita
We umeona nyama tu? Badilisha fikra za kitumwa hizo. Ni mambo mangapi unayafanya ya ajabu iwe kwa siri au siyo siri. Usichague dhambi kama huo unajisi unasema wewe kwenye nyama. Inawezekana ukawa ukawa na mambo ya ajabu kuliko hiyo nyama.Wadau hamjamboni nyote?
Nimekaribishwa ila nimesita nahofia unajisi
Nipeni ushauri kwani mwenyeji wangu ananisubiri ninawe nianze kula
Je hiyo unaweza kuwa nyama mnyama gani
Ingekuwa rahisi zaidi kama ungemuuliza mwenyeji wakoWadau hamjamboni nyote?
Nimekaribishwa ila nimesita nahofia unajisi
Nipeni ushauri kwani mwenyeji wangu ananisubiri ninawe nianze kula
Je hiyo unaweza kuwa nyama mnyama gani
Anatupanga huyo kashajishibia huo msosiMpaka sasa unasubiri majibu na mwenyeji anakuangalia msg zikiingia eti
Kuna watu wanapenda attention π π€£Anatupanga huyo kashajishibia huo msosi
Upo sahihi kabisa, kuna jamaa yangu aliwahi jijazia nyama nyingi kwenye bday party baada ya kula ndio akauliza. Ni wale wa haramu ila aliisifia sana.kula...ingekua kitimoto ilivyo na ushawishi ungekula kwanza halafu ungejiuliza baadae....
Au ingekua ni nyama ya Papuchi asingeuliza.Nyama ya ng'ombe hyo ww kula...ingekua kitimoto ilivyo na ushawishi ungekula kwanza halafu ungejiuliza baadae....
π tujue kuwa kala nyama kilo mwenyewe.Kuna watu wanapenda attention π π€£
Umeona eeeπππAu ingekua ni nyama ya Papuchi asingeuliza.
Hatari sana mkuuπππUpo sahihi kabisa, kuna jamaa yangu aliwahi jijazia nyama nyingi kwenye bday party baada ya kula ndio akauliza. Ni wale wa haramu ila aliisifia sana.
Wavuvi wa pale Kamanga ferry Mwanza wao chai ya asubuhi ni ugali na mtindi na nyama choma au ugali dagaa wabichi waliokaangwa. Kitu kingine nilichokiona Mwanza aisee wanawake wa kisukuma wanajua kusonga ugali ukaiva vizuri hadi mtu ukasahau wali. Kwahiyo msukuma yeye anakula ugali asubuhi, mchana na jioni hizo chapati zako tupa kule!!.ugali saa tano hii acha uongo mkuu