Nimekaribishwa nyama na ugali nimesita kula sina hakika ni nyama ya aina gani, nisaidieni ushauri nisije jitia unajisi

Nimekaribishwa nyama na ugali nimesita kula sina hakika ni nyama ya aina gani, nisaidieni ushauri nisije jitia unajisi

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Nimekaribishwa ila nimesita nahofia unajisi

Nipeni ushauri kwani mwenyeji wangu ananisubiri ninawe nianze kula

Je hiyo unaweza kuwa nyama mnyama gani
1721801020619.jpg
 
W
Wadau hamjamboni nyote?

Nimekaribishwa ila nimesita nahofia unajisi

Nipeni ushauri kwani mwenyeji wangu ananisubiri ninawe nianze kula

Je hiyo unaweza kuwa nyama mnyama gani
We umeona nyama tu? Badilisha fikra za kitumwa hizo. Ni mambo mangapi unayafanya ya ajabu iwe kwa siri au siyo siri. Usichague dhambi kama huo unajisi unasema wewe kwenye nyama. Inawezekana ukawa ukawa na mambo ya ajabu kuliko hiyo nyama.
 
Wewe ni Muhindu hauli ng'ombe??
 
Huo ugali ukate vipande viwili halafu kipande kimoja ndio ukitumie kama mboga.
 
ugali saa tano hii acha uongo mkuu
Wavuvi wa pale Kamanga ferry Mwanza wao chai ya asubuhi ni ugali na mtindi na nyama choma au ugali dagaa wabichi waliokaangwa. Kitu kingine nilichokiona Mwanza aisee wanawake wa kisukuma wanajua kusonga ugali ukaiva vizuri hadi mtu ukasahau wali. Kwahiyo msukuma yeye anakula ugali asubuhi, mchana na jioni hizo chapati zako tupa kule!!.
 
Back
Top Bottom