Nimekaripiwa kazini leo, kwa uzembe wa kusababishiwa

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,509
Reaction score
3,429
Sijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3. Leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa.

"Mwenzetu leo umetulate down" hii sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa.

Ilikuwa hivi kuna document ilipaswa niiwasilishe lakini ni hadi mimi nitumiwe na mfanya kazi mwingine ndipo niiwasilishe, nimejitetea kuwa nilichelewa kupokea kutoka kwa mwingine ila ndo hivyo,

Siku 3 nyuma niliwapigia simu hawakupokea wengine wanatuma kazi nusu nusu kiufupi kazini kuna ishu za uzembe wa kusababishiana boss akibana kila mtu anamwangushia banda bovu mwingine.

Kama kuna mtu kazini kwake kakutana na mazingira haya naomba anijuze jinsi ya kudeal na hizi changamoto Asante ila sijapenda aisee.
 
sijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3.,.leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa,

"mwenzetu Leo umetulate down" hi sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa Leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa.

ilikua hivi kuna document ilipaswa niiwasilishe lakini ni adi mimi nitumiwe na mfanya kazi mwingine ndipo niiwasilishe, nimejitetea kua nilichelewa kupokea kutoka kwa mwingine ila ndo ivyo,

siku 3 nyuma niliwapigia simu hawakupokea wengine wanatuma kazi nusu nusu kiufupi kazini kuna ishu za uzembe wa kusababishiana boss akibana kila mtu anamwangushia banda bovu mwingine.

Huu utumwa huu🤔
 
Kazinkuna unafiki sana kuwa makin
 
Kweli umezingua..

Yaani unalaumiwa Kwa sababu ya uzembe wa Mtu mwingine ila ukashindwa kujitetea?

Mwana Jf mwenzetu Leo umetulet down sana.
 
Watoto wa elf mbili baada ya kupata kazi
 
Kweli umezingua..

Yaani unalaumiwa Kwa sababu ya uzembe wa Mtu mwingine ila ukashindwa kujitetea?

Mwana Jf mwenzetu Leo umetulet down sana.
nimejitetea boss ila ukishakaripiwa ndo tayari maneno sumu boss
 
Kawaida,just cool,next time onesha sura kazi kwa watu unaowasimamia,huwezipiga simu mara 3 alafu mtu aleti kazi na kazi ikija inakuja nusu na wewe upo tu umekomaa na simu,
Samahan mkuu kama Sijakuelewa vizuri hivi
 
Pole. Hakikisha haitokea tena kwa kuwapa deadlines kwa maandishi wale wanaoripoti kwako copy kwa Supervisor wako na wakichelewa unawaripoti.
nimekuelewa boss changamoto inakuja ukiwaripot wananza kukuona wewe sniichi
 
Sio utumwa ni kazi inataka hivyo!, kwa maelezo ya jamaa hakuna utumwa hapo!. hiyo ni kwa mtu yoyote hata wewe binafsi ukichelewa kufanya kitu fulani basi utapata matokeo fulani!..
kilichofanyika ni uzembe tu na inawezakuwa wa maksudi au bahati mbaya....
ni sirias kua uzembe mkuu ila inaonekana lawama anatupiwa mmoja hapa ndo nimemaindi wakati sio mimi sosi
 
Ni kawaida bosi kumaind Kama mambo hayapo sawa,hata kama ningekuwa mimi ningekuzingua,kinachobaki sasa wewe nenda kadeal na aliyesababisha umhoji vizuri huenda anataka utimuliwe kazi kwa uzembe hapo kitengo akae yeye
 
Ninaowaongoza wananielewa vema, kwenye kazi natumia lugha ngumu kidogo, ila nje ya kazi mambo ni byee, pole ndugu jaribu kutengeneza mambo yakae sawa ili ujiepushe kuumizwa tena.
 
Back
Top Bottom