nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Huu utumwa huu🤔sijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3.,.leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa,
"mwenzetu Leo umetulate down" hi sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa Leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa.
ilikua hivi kuna document ilipaswa niiwasilishe lakini ni adi mimi nitumiwe na mfanya kazi mwingine ndipo niiwasilishe, nimejitetea kua nilichelewa kupokea kutoka kwa mwingine ila ndo ivyo,
siku 3 nyuma niliwapigia simu hawakupokea wengine wanatuma kazi nusu nusu kiufupi kazini kuna ishu za uzembe wa kusababishiana boss akibana kila mtu anamwangushia banda bovu mwingine.
Kama kuna mtu kazini kwake kakutana na mazingira haya naomba anijuze jinsi ya kudeal na hizi changamoto Asante ila sijapenda aisee.
Kazinkuna unafiki sana kuwa makinsijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3.,.leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa,
"mwenzetu Leo umetulate down" hi sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa Leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa.
ilikua hivi kuna document ilipaswa niiwasilishe lakini ni adi mimi nitumiwe na mfanya kazi mwingine ndipo niiwasilishe, nimejitetea kua nilichelewa kupokea kutoka kwa mwingine ila ndo ivyo,
siku 3 nyuma niliwapigia simu hawakupokea wengine wanatuma kazi nusu nusu kiufupi kazini kuna ishu za uzembe wa kusababishiana boss akibana kila mtu anamwangushia banda bovu mwingine.
Kama kuna mtu kazini kwake kakutana na mazingira haya naomba anijuze jinsi ya kudeal na hizi changamoto Asante ila sijapenda aisee.
Kweli umezingua..sijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3.,.leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa,
"mwenzetu Leo umetulate down" hi sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa Leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa.
ilikua hivi kuna document ilipaswa niiwasilishe lakini ni adi mimi nitumiwe na mfanya kazi mwingine ndipo niiwasilishe, nimejitetea kua nilichelewa kupokea kutoka kwa mwingine ila ndo ivyo,
siku 3 nyuma niliwapigia simu hawakupokea wengine wanatuma kazi nusu nusu kiufupi kazini kuna ishu za uzembe wa kusababishiana boss akibana kila mtu anamwangushia banda bovu mwingine.
Kama kuna mtu kazini kwake kakutana na mazingira haya naomba anijuze jinsi ya kudeal na hizi changamoto Asante ila sijapenda aisee.
Watoto wa elf mbili baada ya kupata kazisijawai maindiwa kazini huu mwaka wa 3.,.leo nimesikia uchungu sana kukaripiwa,
"mwenzetu Leo umetulate down" hi sauti ya mkuu wangu. na wa ngazi ya chini yake jamaa Leo umezingua, daah, afu hawa ni wafanya kazi Wenzangu bada ya kutetea ndo wanaongeza nionekane kweli na Kosa.
ilikua hivi kuna document ilipaswa niiwasilishe lakini ni adi mimi nitumiwe na mfanya kazi mwingine ndipo niiwasilishe, nimejitetea kua nilichelewa kupokea kutoka kwa mwingine ila ndo ivyo,
siku 3 nyuma niliwapigia simu hawakupokea wengine wanatuma kazi nusu nusu kiufupi kazini kuna ishu za uzembe wa kusababishiana boss akibana kila mtu anamwangushia banda bovu mwingine.
Kama kuna mtu kazini kwake kakutana na mazingira haya naomba anijuze jinsi ya kudeal na hizi changamoto Asante ila sijapenda aisee.
asante mkuuPole. Hakikisha haitokea tena kwa kuwapa deadlines kwa maandishi wale wanaoripoti kwako copy kwa Supervisor wako na wakichelewa unawaripoti.
nimejitetea boss ila ukishakaripiwa ndo tayari maneno sumu bossKweli umezingua..
Yaani unalaumiwa Kwa sababu ya uzembe wa Mtu mwingine ila ukashindwa kujitetea?
Mwana Jf mwenzetu Leo umetulet down sana.
Kaka mheshimu kila mtu humu hatujuani, samahani lakiniWatoto wa elf mbili baada ya kupata kazi
nimegadhibika sana Leo mkuu acha aiseeKazinkuna unafiki sana kuwa makin
Samahan mkuu kama Sijakuelewa vizuri hiviKawaida,just cool,next time onesha sura kazi kwa watu unaowasimamia,huwezipiga simu mara 3 alafu mtu aleti kazi na kazi ikija inakuja nusu na wewe upo tu umekomaa na simu,
nimekuelewa boss changamoto inakuja ukiwaripot wananza kukuona wewe sniichiPole. Hakikisha haitokea tena kwa kuwapa deadlines kwa maandishi wale wanaoripoti kwako copy kwa Supervisor wako na wakichelewa unawaripoti.
Huu ni utoto ,, hio sio post ya kuweka huku enda Facebook plzzKaka mheshimu kila mtu humu hatujuani, samahani lakini
Mkuu ni lazima ucoment uzi wangu? mbona kuna wadau wamenielewa?Huu ni utoto ,, hio sio post ya kuweka huku enda Facebook plzz
Sio utumwa ni kazi inataka hivyo!, kwa maelezo ya jamaa hakuna utumwa hapo!. hiyo ni kwa mtu yoyote hata wewe binafsi ukichelewa kufanya kitu fulani basi utapata matokeo fulani!..Huu utumwa huu🤔
ni sirias kua uzembe mkuu ila inaonekana lawama anatupiwa mmoja hapa ndo nimemaindi wakati sio mimi sosiSio utumwa ni kazi inataka hivyo!, kwa maelezo ya jamaa hakuna utumwa hapo!. hiyo ni kwa mtu yoyote hata wewe binafsi ukichelewa kufanya kitu fulani basi utapata matokeo fulani!..
kilichofanyika ni uzembe tu na inawezakuwa wa maksudi au bahati mbaya....
Changamoto kazini ni kawaida tafuta njia yakulitatua hilo siku nyengine lisijitokeze.ni sirias kua uzembe mkuu ila inaonekana lawama anatupiwa mmoja hapa ndo nimemaindi wakati sio mimi sosi