Nimekaripiwa kazini leo, kwa uzembe wa kusababishiwa

Weka kila kitu kwenye maandishi ya email, copy watu wote muhimu, ikiwezekana lazimisha kutumiwa confirmation ya kwamba email imepokelewa na kusomwa.

Mtu akileta longolongo onesha email umeituma siku fulani, imepokelewa siku fulani, imesonwa siku fulani.
 
Kama kazi mnatumiana kwa email usisahau ku cc boss wenu awe anaona, hio inapunguzaga hayo mambo ya kuangushiana jumba bovu
 
Bruh inakuaje hiyo confirmation kuwa email imesomwa na kupokelewa ?
 
Bruh inakuaje hiyo confirmation kuwa email imesomwa na kupokelewa ?

For Outlook see below. For other systems look for equivalent settings in your documentation or user community, if available..

To configure Outlook to send and receive read receipts, navigate to File > Options > Mail > Tracking. Within the "Tracking" section, you can check boxes to request a delivery receipt (confirming the message was delivered) and a read receipt (confirming the recipient viewed the message) for all sent messages. You can also control how Outlook responds to read receipt requests received.

 
Thank you boss
 
Wakati wa kuunganisha ripoti nakumbuka nilikuwa nakaribia kulala ofisini, unapiga cm mpaka umpate mtu atume ripoti asipopokea mpigie hata mme au mke wake.

Ujue umeonekana uko loose, unaweza poteza kazi au cheo.

Be serious next time
 
Ukifanya kazi benki unafokewa wewe bosi wa idara hata kama kosa kalifanya mfanyakazi wa chini yako ,uongozi unaona wewe ni shida hata kama ukatoa sababu kuwa sio wewe.ulitakiwa umbane mfanyakazi ambae yupo chini yako anakupa document kwa wakati sahihi ,bizi benki zione hivi hivi kuna mchakachaka mkubwa sana mule na kila kitu kipo ontime pengine uko serikalini ambako mtu anafanya kazi anavyotaka.
 
Hii ipo pia kwa group of companies especially kwenye international organization, mchakamchaka wake sio kabisa, kama wewe una'nature ya uzembe utaondoka wewe!
 
Bila shaka wewe ni Last Born.
 
Hii ipo pia kwa group of companies especially kwenye international organization, mchakamchaka wake sio kabisa, kama wewe una'nature ya uzembe utaondoka wewe!
Serikalini wangeiga hii mifumo, nchi yetu ingepiga hatua sana za maendeleo.
 
ingalikua umejiajiri huenda wewe ndie ungekua unawapiga biti wasaidizi wao,

but,
kwakua wewe ndio umeajiriwa kufanya kibarua kwenye ofisi za watu ya watu, kukaripiwa hapaepukiki 🐒
 
HAkikisha unawataarifu kwa maandishi Email wakuzingua unazo supporting doc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…