Xin shan low
Member
- Jun 26, 2025
- 94
- 52
We back na chama tawala tu maisha yaendeWacha mpina, january, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele
Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia,
shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania
Kwa sasa sina chamaWe back na chama tawala tu maisha yaende
Labda hauelewi kiswahi vizuri, ukute umhutuHujaandika logic behind why u will never trust opposition... ww ni low IQ citizen huna hoja mwanike
AsanteKila la kheri!
Sikuwa ccm, sipo ccm na sitakuwa ccm, labda mambo yaharibike sanaaaBaki CCM hujalazimishwa. Unataka ulale kitandani wengine wakupiganie.
Labda tunaweza kuanza tena harakati ikuwa hivyo, ila kwa sasa neverNadhani itakua vizuri huko mbeleni kwenye katiba mpya kuundwe serikali ya mseto baada ya uchaguzi kufuatana na number ya wabunge kila chama kimepata.
Hii itasaidia kuondoa migongano na chuki za kivyama huku demikrasia ikisonga mbele
Ni maigizoWacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele
Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia,
shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania
Tukisema tuache wanasiasa wafanye Yao maana wote ni wale wale mnatuita machawaWacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele
Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia,
shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania
Kwa kwenda mbeleNi maigizo
Na watoke tuSiasa ni ajira,hvyo usiamin sana katika siasa
Hata ccm tukiwatoa hakuna kitakachobadilika,sema nini tunataka tuwatoe ili nao washike adabu maana sahv wanakiburi debe mia
Hakuna dalili ya mwanga atiHapo umejikatia tamaa mwenyewe.
Mbona tayariBado hamjasema 😂