Nimekata tamaa na upinzani wa Tanzania

Nimekata tamaa na upinzani wa Tanzania

Hapana, sio best option Ila Kwa kuwa hatuna chama pinzani kinachojitambua ndio inabidi twende na ccm tuu.
Ili uone upinzani unajitambua ni wafanye?

Wabongo kazi yenu ni kulia na kulalamika hakuna suluhisho la maana mnategemea watu wengine wafe kwa ajili yenu
 
Wacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele

Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia,

shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania

Wewe jitoe mwenyewe usisubirie watu
 
Wacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele

Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia,

shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania
Someni pia kuhusu 'ostracism' mtanishukuru
 
Oktoba 2025 Hakuna UCHAFUZI, tutafanya juu chini kuuzuia usifanyike
noReformsNoElection.PNG
 
Ili uone upinzani unajitambua ni wafanye?

Wabongo kazi yenu ni kulia na kulalamika hakuna suluhisho la maana mnategemea watu wengine wafe kwa ajili yenu
Mm sijawahi kumtegemea mwanasiasa afe kwa ajili yangu.

Ingekuwa wanajitambua, usingeona wanachama wanahama chama chao kisa viongozi wameweka malengo ya kuhakikisha kuna haki itendeke kwenye uchaguzi mkuu (refer chadema na NRNE)
 
Back
Top Bottom