Nimekata tamaa na upinzani wa Tanzania

Wacha Mpina, January, february au hata namba moja mwenyewe ahame chama bado sitwaamini tena upinzani maisha milele

Hata aliyeko korokoroni simwamini tena pia,

shikamoo siasa, shikamoo ccm, sikamoo Tanzania
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Basi kuwa wewe mwenyewe mwanasiasa au anzisha chama lako
 
Mpinzani wa kweli ni TAL.
Atleast kwa sasa hivi.

Sijui kama tutapata mtu kama huyu katika miaka 50 ijayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…