Nimekata tamaa, nimepigika, nimeteswa, nimedharauliwa, nimeumizwa, sasa basi!

Nimekata tamaa, nimepigika, nimeteswa, nimedharauliwa, nimeumizwa, sasa basi!

Nataka nianze kufaidi pesa zangu mimi mwenyewe. Sitaki mtu anisemeshe. Mimi na maisha yangu. Binadamu nimewachoka. Nitakunywa Pombe mpaka nitapike. Nitavuta sigara mpaka mapafu yakome. Nitalala kwenye madanguro. Nitahonga sana. Nataka ku- neurtralize my sadness. Siwezi kuwa mimi ni wa uchungu tu maisha yangu yote. Siwezi kuwa mimi wa majonzi tu mpaka nife.
Hapa ndio ndio kwenye point ya msingi ponda raha mwanawane ponda raha kufa unakufa mara 1 tu ukifa haurudi tena na ukifa watu wanaziwahi akaunti zako za bank kuchungulia umeacha nini ili waanze kuendeleza ulipoishi unaweza usizivutie sigara usizinywee pombe ukifa kuna muhuni atazivutia na kuzinywea na umezitafuta wewe mwanawane, mwadelababa gawiza !!!
 
Back
Top Bottom