Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Ila watu hampo serious kabisa kwahyo mnataka mwamba ajiue aache vitisho 🤣🤣🤣
 
Kujiua ni bora zaidi ila kama una mtoto bora usingezaa kabisa ,jaribu kutambua jukumu lako kwa mtoto ushajipa majukumu.

Muda mwingine naona sawa kufa kwa sababu sina familia kama ningekuwa na familia nahisi singekuwa na mawazo ya hovyo..

Vijana mmepatwa na nn tena?
 
Sawa na kuna mwanajeshi kama sikosei aliandika hivi na baada ya muda ilitokea kweli.asante pia kwa mtazamo wako
 
P
Pole sana ndugu ,huyo binti yako yuko wapi ?
Naweza kupata mawasiliano na wewe tuzungumze nahisi unaweza kuwa sawa tena maana anayeandika haya ni mraibu wa pombe ,ni mraibu wa madawa ya kulevya na pia ni daktari akiyetumikia wizara tofauti kwa wakati tofauti na kwingi alifukuzwa kwa makosa kadha wa kadha sasa depression inamtesa zaidi yako na mbaya ndugu na jamaa wako mbali na yeye ila anajaribu kujikubali na kuhisi anaweza kukusaidia usifikie hatua ngumu ya namna hiyo .

Njoo PM kaka andika namba yako kama kichwa cha habari ,nitakupigia tutazungumza ikiwezekana nitakuomba uje tukae tuwe marafiki tukishinde kikombe hiki .

Ni mimi MENEMENE TEKERI NA PERESI inaniuma sana tena sana nikiona hali kama hizi zijipi faraja kuwa tuko wengi ila huzuni ni kuwa kwanini wanaongezeka kila uchwao 😭😭
 


Mimi ni nani
Kwanini nipo hapa
Nilikuwa wapi kabla ya hapa
Baada ya hapa nitaenda wapi.....

Dunia hii ni mahali pazuri sana mwanadamu kuishi? Huhitaji kuwa na hivyo unavyoviona vya thamani kuyaishi au kufurahia haya maisha....

Nunua eyephones au headphones, ingia google andika binaural beats ( mind relaxation ) download na anza kusikiliza huo mziki kila unapohisi mawazo ya namna hiyo yanakujia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…