Nimepata muda huo wakufatilia mikasa mingi sana wa mwisho ni wa binti wa yombo mwenye TB ya mifupa lakini tupo tofautibkwenye kuhandle matatzo nadhani unalijua hilo nimeandika uzi huu nipate watu hatujuani wanaoweza nipa tiba yaa akili ama moyo labda inaweza sidia kuondokana na shetani huyu..asanteMzee Umepata Mdaa Wa Kutembelea kwenye Mahodi ya Mahospitali, vituo vya Watoto yatima, Mzee Kuna Watu Wanamatatizo Makubwa Yako yaweza kuwa Madogo Ila Bado Wanapambania Uhai Wao Daily Ili Wa Survive.
Sababu zako za kutaka kujiua ni nini ? Au unafikiri humu jf kila mtu ni tajiri kweli kama wanavyojinadi isipo kuwa wewe?Unadhan pombe itatibu jmbo?
Hupatikani mdogo wanguMara moja moja kwa matukio
Umejuaje au ndio unataka kutushauri tumchangie?P
Pole sana ndugu ,huyo binti yako yuko wapi ?
Naweza kupata mawasiliano na wewe tuzungumze nahisi unaweza kuwa sawa tena maana anayeandika haya ni mraibu wa pombe ,ni mraibu wa madawa ya kulevya na pia ni daktari akiyetumikia wizara tofauti kwa wakati tofauti na kwingi alifukuzwa kwa makosa kadha wa kadha sasa depression inamtesa zaidi yako na mbaya ndugu na jamaa wako mbali na yeye ila anajaribu kujikubali na kuhisi anaweza kukusaidia usifikie hatua ngumu ya namna hiyo .
Njoo PM kaka andika namba yako kama kichwa cha habari ,nitakupigia tutazungumza ikiwezekana nitakuomba uje tukae tuwe marafiki tukishinde kikombe hiki .
Ni mimi MENEMENE TEKERI NA PERESI inaniuma sana tena sana nikiona hali kama hizi zijipi faraja kuwa tuko wengi ila huzuni ni kuwa kwanini wanaongezeka kila uchwao 😭😭
Watu mnasahau.sasa husemi hata shida nini, we una Anza nakufa nakufa!
Hapana sina kusudi la hivyo maana sijaona alipoomba msaada wa hela wala chochote cha kushikika zaidi ya mawazo ya waja kutokana na shauku ya kuhitaji kujiua .Umejuaje au ndio unataka kutushauri tumchangie?
Mbona mnafanana miandiko?Hapana sina kusudi la hivyo maana sijaona alipoomba msaada wa hela wala chochote cha kushikika zaidi ya mawazo ya waja kutokana na shauku ya kuhitaji kujiua .
Sawa ,wasubiri moderator wamerge account .Mbona mnafanana miandiko?
- Kukata tamaa ni dhambi.Mimi sio mjuzi wakuandika uzi JF hii ndo mara yangu ya kwanza na inaweza kuwa ya mwisho kama kuna makosa jitahidini kuelewa.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nahisi leo inaweza kuwa siku yangu ya mwisho kwenye huu uso wa dunia ila nitakuua nimeacha maumivu makubwa sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Najua nina makosa mengi sana nitakuefanya niliowakosea naombwa kuelezea mambo nayopitia, kiukweli nimeshajaribu kujitoa uhai zaidi ya mara nne lakini ikashindikana na kuona Mungu ana kusudio na mimi ila bado kwa upande wangu nimeshindwa kukaa sawa mpaka nahisi kuwa nina shida ya akili ama kuna ki
yangu yali kuwa tofauti Sana mkuu, na nili kuwa dogo kabisa ndani ya zizi la mbwa mwitu!.Watu mnasahau.
Yaliwahi kukufika ukaja kuomba ushauri ukiwa umekat tamaa kama huyu.
Hivyo sasa unapatikanaUmeme ulikua umekata kutokana na mvua kubwa ilyopta sahiv ndo umerudi
Ungeeleza kinaga ubaga nini hasa kimepelekea wewe kuwa na hali hiyo mkuu.Mimi sio mjuzi wakuandika uzi JF hii ndo mara yangu ya kwanza na inaweza kuwa ya mwisho kama kuna makosa jitahidini kuelewa.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nahisi leo inaweza kuwa siku yangu ya mwisho kwenye huu uso wa dunia ila nitakuua nimeacha maumivu makubwa sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Najua nina makosa mengi sana nitakuwa nimefanya niliowakosea naomba radhi mnisamehe kwa dhati na mniombee kwenye safari yangu.
Kosa langu kubwa ni kushindwa kuelezea mambo nayopitia, kiukweli nimeshajaribu kujitoa uhai zaidi ya mara nne lakini ikashindikana na kuona Mungu ana kusudio na mimi ila bado kwa upande wangu nimeshindwa kukaa sawa mpaka nahisi kuwa nina shida ya akili ama kuna kitu kingine
Sijui napoenda kama kuna mapumziko ya kweli ama laa, umri bado ni mdogo miaka 29 naingia ila sina uelekeo wala utulivu wa akili kutokana na wakati mgumu naopitia akili mwangu na moyoni mwangu.
Nimeona hata ikitokea nimeondoka kwenye hii dunia niache uzi huu nikiondoka nitakuwa nimeacha binti yangu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minne aliyeanza kuita baba na mama tu atakuta historia ya baba yake kwa namna tofauti kwamba hakua jasiri ama kifo kilimshinda.
Ndugu jamaa na marafiki binti huyu ni dhamana yenu nawaomba uangalizi wenu kwake akiwa mdogo na hata akikua.
Watu wa mzaha nitaona ni kawaida hii ila mwisho mtakuta habari tu yalioadikwa yametimia japo namuomba Mungu anitie nguvu kuniepusha na hili tendo nawapenda sana wote.
Kama kuna mtu amebarikiwa kunipa ushauri utakaogeuza mawazo yangu nipo hapa kwa masaa machache kupokea jitihada zako.
Asanteni sana DEPRESSION IS REAL.