Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Nimekata tamaa sana nakufikia kuona kifo ndio suluhisho

Sema shida mkuu wengine tulivunjwa tukapinda ila hatukuvunjika.......wakatega mitego tukanasa tukanasua.....tulishinda kesi bila wakili,tulikuwa mifupa na sasa tuna nyama Mungu aliandaa meza mbele ya adui zetu.....me nikikuelezea aloooo... Hutajiua hakuna tatizo lisilo mwisho..

In 2017, life hit me left, right, and center. But MUNGU ni NANI bwana? Time passed, and while I was on YouTube, this song came on:

🎶 Don't worry about a thing
'Cause every little thing gonna be all right
🎶

The rest is history.
Sio mimi nilieandika huu uzi but umeniMOTIVATE pakubwa mno mimi hapa.

Everything's gonna be alright🙏
 
Nilisha wahi kuwa na haya mawazo ya kujiua ila sikuwa na uhakika na maamuzi yangu

Siku moja nikachukua maziwa na sumu nijaribu nione nitakavyo jisikia nikianza kusikia maumivu tu ntakunywa maziwa

Kilicho nikuta kungekuwa na camera ile ndio ingeshika best commedy of the year nikikumbuka nainjoy tu bora niendelee kula dagaa kufa sio poa
 
Mtu ni maamuzi kama kweli umedhamiria fanya moyo wako upendavyo. Unadikiri hiyo mijizi, mijambazi, mikahaba, mashoga, ombaomba omba, mafukara, masikini walala hoi, makapuku, vilema wanafurahia maisha. Ni basi tu watu wanavulia mayb kesho mambo yatabadilika. Ww ni mtu mzima kama unaweza kujiunga fb means akili zinakutosha km umeamua usenge huo we fanya tu hukuhitaji kushirikisha membaz ufala wako.
 
Lengo sio kuchangiwa unadhani ni suluhiho la kudumu, hitaji kuu kwanza ni vipi kuepuka wazo linalo tawala akili msaada huwa n hali hali ma mali haikuanza mali na hali kila mtu anachangamoto zake hapa swala n kuhandle na ndo kunatofautiana. Inafurahisha ikiwa sio upande wako
 
Mimi nitakujibu swali ulilouliza kwamba “hujui huko kuna mapumziko ya kweli au la”
Jibu: Huko hakuna mapumziko , huko ni bampa tu pampa tena ukienda kabla ya ratiba yako ndio unaitwa trespasser.
 
Lengo sio kuchangiwa unadhani ni suluhiho la kudumu, hitaji kuu kwanza ni vipi kuepuka wazo linalo tawala akili msaada huwa n hali hali ma mali haikuanza mali na hali kila mtu anachangamoto zake hapa swala n kuhandle na ndo kunatofautiana. Inafurahisha ikiwa sio upande wako
Unamuamini Mungu?
 
Kuna madogo wanafia kwenye mashimo porini, wapo wamepata vilema na wapo jamaa wengi michongo iligoma wapo magerezani wamenyeshewa mvua kibao walikua kwenye harakati za kutafuta shilingi. Wapo walio toka magerezani na harakati zinaendelea kama hakikutokea kitu. Mwanaume ni kama simba usiruhusu roho dhaifu ikuvae, kuzaliwa mwanaume is a blessing. Wake up man
 
Wapo wengi kama wewe sema hauwajapata wasaa wa wa kuelezea magumu wanayoyapitia.

Huenda ni magumu zaidi yako relax man.
Changamoto ni kama kinga za mwili zinavyoweza kujitetea na magonjwa yupo anaumwa malaria akafariki na yupo anadunda so sikuweka changamoto ni ipi ni ipi kwasababu kila mtu angekuja na mashindano ya matatzo hapa mara mwaka flan ilkua hv nkatoboa ila mambo hayapo hvyo. Asante
 
Unamuamini Mungu?
Ndio na amenifanya nipate wazo lakuandika uzi huu huenda ana njia yake hapa leo kama si kesho na ninajua hapendezwi na hata kufikiria hvi maana yeye yupo ila kibinadamu mambo yakioverload njia ni nyng huja
 
Back
Top Bottom