MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,376
- 25,663
Hupatikani bado ,namba inaishia 43 ikiwa utaiona meseji au missed call nirudie ikiwa hautajaliNdio
Hupatikani bado ,namba inaishia 43 ikiwa utaiona meseji au missed call nirudie ikiwa hautajaliNdio
Naomba unitafute kama hutojali kwa namna yoyote ile niko tayari tuzungumzeMimi sio mjuzi wakuandika uzi JF hii ndo mara yangu ya kwanza na inaweza kuwa ya mwisho kama kuna makosa jitahidini kuelewa.
Niende moja kwa moja kwenye mada, nahisi leo inaweza kuwa siku yangu ya mwisho kwenye huu uso wa dunia ila nitakuua nimeacha maumivu makubwa sana kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki.
Najua nina makosa mengi sana nitakuwa nimefanya niliowakosea naomba radhi mnisamehe kwa dhati na mniombee kwenye safari yangu.
Kosa langu kubwa ni kushindwa kuelezea mambo nayopitia, kiukweli nimeshajaribu kujitoa uhai zaidi ya mara nne lakini ikashindikana na kuona Mungu ana kusudio na mimi ila bado kwa upande wangu nimeshindwa kukaa sawa mpaka nahisi kuwa nina shida ya akili ama kuna kitu kingine
Sijui napoenda kama kuna mapumziko ya kweli ama laa, umri bado ni mdogo miaka 29 naingia ila sina uelekeo wala utulivu wa akili kutokana na wakati mgumu naopitia akili mwangu na moyoni mwangu.
Nimeona hata ikitokea nimeondoka kwenye hii dunia niache uzi huu nikiondoka nitakuwa nimeacha binti yangu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi minne aliyeanza kuita baba na mama tu atakuta historia ya baba yake kwa namna tofauti kwamba hakua jasiri ama kifo kilimshinda.
Ndugu jamaa na marafiki binti huyu ni dhamana yenu nawaomba uangalizi wenu kwake akiwa mdogo na hata akikua.
Watu wa mzaha nitaona ni kawaida hii ila mwisho mtakuta habari tu yalioadikwa yametimia japo namuomba Mungu anitie nguvu kuniepusha na hili tendo nawapenda sana wote.
Kama kuna mtu amebarikiwa kunipa ushauri utakaogeuza mawazo yangu nipo hapa kwa masaa machache kupokea jitihada zako.
Asanteni sana DEPRESSION IS REAL.
Maisha magumu na pia unakuta mtu anakosa mtu wa kumsikiliza na kumshauri...Wimbi la watu kujikatili maisha limetamalaki JF why?
Kwa vile X anadhamiria kujitoa uhai wake kwa hiari, aache Jina lake halisi, X, ili akifanikiwa tuwe na taarifa kwamba keshakuwa mwendazake kwa vile habari hii itatangazwa karibu na vyombo vyote vya habari. Polisi pia itatoa tangazo rasmi kuhusu X kujitoa uhai. Kwa vile bado anao muda mfupi wa kuishi, basi tumtakie Safari njema huko aendako afike salama salmini.Kuna jamaa alileta uzi humu akielezea magumu anayopitia na dhamira yake ya kujipokonya haki ya kuishi, baada ya siku chache, akajitangazia umauti Kwa ID nyingine akaanza kujipigia rambirambi kama DR Steve ake..Kuna mahala alijichanganya na modes walivyofatilia huko kibaha wakagundua ni muhuni mmoja na hakuna msiba, akala BAN na maombolezo na rambirambi zikaishia hapo.
Sawa, nilichomaanisha matatizo yanatokea.yangu yali kuwa tofauti Sana mkuu, na nili kuwa dogo kabisa ndani ya zizi la mbwa mwitu!.
Imagine una sumbuana na ndugu wa marehemu mzee wako, licha ya kuwa Ume pata hela, nyumba, biashara ila huvi furahii
Yeye mtoto sawa, je wewe ni nani, mmama au mbaba anaejifanya mmama..Utoto huu
Wewe nawe kafie mbele, ukishanijua utakua umeongeza siku za kuishi au za kufa??Yeye mtoto sawa, je wewe ni nani, mmama au mbaba anaejifanya mmama..
Yeye mtoto sawa, je wewe ni nani, mmama au mbaba anaejifanya mmama..Wewe nawe kafie mbele, ukishanijua utakua umeongeza siku za kuishi au za kufa??