Mpendwa maisha hayajawahi kuwa rahisi kwa yoyote yule. Na kujiua Bado haiwezi kuwa suluhu ya matatizo.Mtu ambae ningeweza kumwambia ni mama yangu, nae yupo kitandani anapigania Afya yake
Nakushauri utafute msaada kutoka kwa wataalamu wa counselling itakusaidia. Kuna watu wengi wamepitia mambo mazito lakini wameweza kuvuka. Naamini ukizungumza na wanasaikolojia watakusaidia. Usikate tamaa, watoto wako wanakuhitaji sana.Mtu ambae ningeweza kumwambia ni mama yangu, nae yupo kitandani anapigania Afya yake
Usikate tamaa! Msaada na amani iwe kwa Mungu tu huko ndiko kuna faraja ya kutosha! Piga goti mlilie Mungu! Atakufungulia milangonya faraja na baraka!Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Wazazi wako wana kunyonyesha?!! Huna kilema una watoto wawili wenzio wanakesha kwa Mwamposa kutafuta watoto wewe unatmbana unapata mpaka mimba ya tatu.Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Hata huku jamii wapo waliosema tukadhani wanatania mwisho wa siku wakajiua kweli!Anaetaka kujiua huwa anatangaza?
Wanaume hapo mbona kama mnatuonea au ndio chanzo cha mzazi wake kupata stroke?Pole sana wanaume wanajua kuvuruga sana
Mbona kasema ndoa inamsumbua!!sasa hili la watoto kutokuwa na baba umelitoa wapi!?Ulipataje raha ya kufanya ngono una watoto wawili hawana baba na mimba tena juu aliyekupa yuko wapi?
Hata ukijiua Mungu atakukataa huko ukienda mpuuzi wewe.
Fanya kazi lea wanao shenzi kabisa.
Kila jambo lina hatua zake. Mimi nilikuwa kama wewe ila kuna kipindi nilipata dhoruba za kimaisha nikawaelewa sana wanaojiua. Mwombe Mungu usifikie hiyo hatua.Anaetaka kujiua huwa anatangaza?
Kwa kifupi kinachomsumbua ni kushea utamu na wanawake wengine. YEYE HATAKITuliza akili Kila unalopitia linapita utaacha watoto wanateseka kwa uamuzi unaotaka kuchukua. Eleza zaidi Nini kinachokusumbua tujue tunakusaidiaje. Ni mapenzi , chakula maisha magumu au nini?
KUTAMBAZAZUKANimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Sasa anakuja kulialia nini hapa wakati mchawi wake yuko nae hapo wanafyatua watoto tu.Mbona kasema ndoa inamsumbua!!sasa hili la watoto kutokuwa na baba umelitoa wapi!?