Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ya maisha

Pole sana,,,, hizo ni changamoto kila mtu anapitia kwa wakati wake nakuomba usijaribu kujiua wanao watateseka sana...
Mi naelewa maisha yalivyo kuishi bila mzazi katika umri mdogo pls wanao watateseka mno.
Anza kwenda kanisani au msikitini kwenye Imani yako........ Kama ni mkatoliki nenda kwa paroko sio kushtaki bali kueleza unachopitia muda huu Nina Imani atakusaidia sana na anaweza hata kufunga novena kwa ajili yako kumbuka una mimba.
Nakuomba narudia usijiue kwa sababu watakao teseka ni wanao na hiyo dhambi itakutesa huko kaburini.
 
Mtu ambae ningeweza kumwambia ni mama yangu, nae yupo kitandani anapigania Afya yake
Mpendwa maisha hayajawahi kuwa rahisi kwa yoyote yule. Na kujiua Bado haiwezi kuwa suluhu ya matatizo.

Kwasasa fikiria wanao wawili na aliyekotumboni, yaani kama mama hiyo ni nguvu kubwa ya wewe kusonga mbele, ukijiua unadhani nani atakulelea!?.

Jikaze , vumilia , pambana na Kila changamoto ulee wanao hasa kama ni ndoa, mwanaume hajawahi na hatowahi kuridhika. Wewe unajiua sasa hvi anazika na anaendelea na maisha yake kama hakuna kilichotokea.

Sijawahi kuona viumbe wenye roho ngumu kama Hawa wanaume, ukiishi nae tanguliza furaha yako kwanza , lakini ukisema nimefanya Kila kitu lakini haridhiki , hawawezi na hawatokuja kuridhika hata ufanye nini, wewe hapo huenda hulali usiku lakini yeye analala, kwanini ujitese kwaajili ya mtu ambae hajali kuhusu wewe!?. Hajali hisia zako!?.

Usimpe hiyo fursa ya kuona huwezi kuishi bila yeye, akiona unateseka ndo anazidisha kukuumiza lakini akiona hujali , humfatilii lazima roho imsute.

Miaka 6 ya ndoa nilokuwa nayapitia yamenipa somo kubwa sanaa.
 
Mtu ambae ningeweza kumwambia ni mama yangu, nae yupo kitandani anapigania Afya yake
Nakushauri utafute msaada kutoka kwa wataalamu wa counselling itakusaidia. Kuna watu wengi wamepitia mambo mazito lakini wameweza kuvuka. Naamini ukizungumza na wanasaikolojia watakusaidia. Usikate tamaa, watoto wako wanakuhitaji sana.
 
Anza kwanza kutibu hii 👇👇👇

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Usikate tamaa! Msaada na amani iwe kwa Mungu tu huko ndiko kuna faraja ya kutosha! Piga goti mlilie Mungu! Atakufungulia milangonya faraja na baraka!

Amani Ya Yesu itawale katika Moyo wako! Usikate tamaa ipo Faraja
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
Wazazi wako wana kunyonyesha?!! Huna kilema una watoto wawili wenzio wanakesha kwa Mwamposa kutafuta watoto wewe unatmbana unapata mpaka mimba ya tatu.

Magufuli alisemaa maskini hazai nyinyi ndiyo umnatuzalia panya road. Huyo aliyekupa mimba uliyekuwa unampa upenyo yupo wapi?? Alikubaka?? Kafie mbele huko. Swala siyo wazazi wala watoto wala mimba ni wewe hujitambui.
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana,
Nyumban hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8... Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka???
KUTAMBAZAZUKA
Tumeshapita kwenye magumu zaidi ya hayo....mbele kuna NURU...VUMILIA.....
 
Back
Top Bottom