Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ya maisha

Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Anaejiua hasemi
 
Sali kwa Mungu upate utulivu kisha Zungumza na Daktari wako mueleze hali yako mambo yote yatakuwa sawa kadri unavyokalibia siku ya kujifungua. Ukichelewa mambo yanaweza kuwa si mazuri baada ya kujifungua. Nakutakia heri
 
Anza kwanza kutibu hii 👇👇👇

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ukisoma huo uzi unakuja gundua huyu ni mpumbavu kama sio malezi ya kina "junior" yamemuathiri. Nilivyosoma tu mstari aliowazungumzia baba na mama imenifikirisha, jibu nikapata kwenye huo uzi. Ana visa kwasababu alikuwa anawategemea wazazi wake,uzuri wake na ubabe wake!

Ajirekebishe kwanza yeye aone kama mme wake hatabadilika lasivyo hamna mwanaume atakuwa malaika kwake au hakuna namna yoyote atafanya itamsaidia zaidi ya kuwa single maza au kujiua kweli.
 
Kwani kafanyaje mkuu, usihukumu nawe hautohukumiwa atuwekee namba nadon waJF tumuingizie chochote tutamfariji kwa gharama yoyote mradi tu asijiue
 
Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.

Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.

Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Bila Yesu hutoboi!
 
Mumeo ni cha pombe?
Jipiganie utavuka tu dunia ndivyo ilivyo. Pole sana.
 
Huyu madam kaanza kulalamikia mapenzi tangu 2014 huko,kwa kuangalia nyuzi zake

Upendo wako unaweza kuhamishia kwa watoto wako...focus kwenye kazi,afya yako na watoto wako,sali sana,jali muonekano wako na jitahidi kuacha hii tabia kama bado unayo Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha

Pole
Inabidi tumchangie angalau ataanza kukaa sawa au tumsake huyo mpuuzi anaemsumbua tumataitishe aseme kwanini anataka kusababisha maafa?
 
Acha kuwa unahesabu na kuona mume wako anamakosa muda wote. Jipe muda wakujitathmini kwa Yale unayolalamikiwa nakuyarekebisha utathaminiwa.
Toka kuzaliwa hujawahi kufa. Hivi unakijua vizuri kifo wewe? Au rahisi kusema tu Bora ufe? Kuna Mambo mengi ya kufanya mbali na kufa, jaribu Sasa kuyafanya hayo mengine.

Acha Mungu akuchukue muda wake sahihi ukifika na sio wewe mwenyewe ujiue utakuwa mgeni wa Nani baada ya kudharau zawadi ya uhai uliopewa.
 
Hajaomba msaada wa pesa au labda kama unamjua personally
Inabidi tumfariji kwa njia na namna zote wewe umejuaje kwamba pesa hazitomsaidia kuahirisha dhumuni lake la kutaka kujiua, hivi unajua chanzo cha wengi kujiua ni nini? Pesa inashika namba 1
 
Na wewe umejuaje ni pesa anahitaji?
Umepata muda wa kupitia nyuzi zake ukaona anahitaji pesa?

Kila mtu ana mtazamo wake...sio kila mtu tatizo lake namba moja ni pesa,sio kila mtu ni masikini
 
Back
Top Bottom