Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Anaejiua hasemiNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?