Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Anaejiua hasemiNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Sali kwa Mungu upate utulivu kisha Zungumza na Daktari wako mueleze hali yako mambo yote yatakuwa sawa kadri unavyokalibia siku ya kujifungua. Ukichelewa mambo yanaweza kuwa si mazuri baada ya kujifungua. Nakutakia heriNimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Ukisoma huo uzi unakuja gundua huyu ni mpumbavu kama sio malezi ya kina "junior" yamemuathiri. Nilivyosoma tu mstari aliowazungumzia baba na mama imenifikirisha, jibu nikapata kwenye huo uzi. Ana visa kwasababu alikuwa anawategemea wazazi wake,uzuri wake na ubabe wake!Anza kwanza kutibu hii 👇👇👇
Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha
wanasema ukiyajua matatizo yako bàsi unaenda kupona. Lakini kwangu ni tofauti mimi ni mama wa watoto 2, baba wawili tofauti... Ninatatizo sijui linatokana na nini na ni hali ambayo kwa sasa nimegundua ninatatizo na najichukia lkn siwezi kujicontrol 2013 niliolewa na kijana mzuri anakazi nzuri...www.jamiiforums.com
#YNWA
#YANGA_BINGWA
Ndio usikate tamaa ya maisha kiasi hicho mkuu weka namba ya siku tukuchangie kiasi zitakupa faraja angalau ubadirishe maamuzi ya kujipiga kitanzi kwa kutumia chandaluaNaelewa vizuri haya mambo. Naamini sijakosea sana
Yatakwisha kivipi? Kirahisi hivyo? Maneno ya kuliwaza ila msoto huko palepale!Pole sana Kila gumu linajema lake nyakati ngumu kwa mwanadamu zipo ila yote yatakwisha na Kila kitu kitakuwa sawa.
Kwani kafanyaje mkuu, usihukumu nawe hautohukumiwa atuwekee namba nadon waJF tumuingizie chochote tutamfariji kwa gharama yoyote mradi tu asijiueUkisoma huo uzi unakuja gundua huyu ni mpumbavu kama sio malezi ya kina "junior" yamemuathiri. Nilivyosoma tu mstari aliowazungumzia baba na mama imenifikirisha, jibu nikapata kwenye huo uzi. Ana visa kwasababu alikuwa anawategemea wazazi wake,uzuri wake na ubabe wake!
Ajirekebishe kwanza yeye aone kama mme wake hatabadilika lasivyo hamna mwanaume atakuwa malaika kwake au hakuna namna yoyote atafanya itamsaidia zaidi ya kuwa single maza au kujiua kweli.
Bila Yesu hutoboi!Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Tumchangie waakuu mwenye 100 200 million awe kwenye namba yake atakata tamaa ya kujiua na ataanzaa kuishi upya, pesa inatakatisha dhumuni la kujiuaYatakwisha kivipi? Kirahisi hivyo? Maneno ya kuliwaza ila msoto huko palepale!
Mumeo ni cha pombe?Nimekata tamaa ndoa inatesa sana.
Nyumbani hakuna mtu baba alishafariki, mama ni mgonjwa kapata stroke yupo kwa ndugu anatibiwa.
Kwangu kunawaka moto, hapa nipo Mjamzito miez 8. Nawaza usiku silali natamani nijiondoe tu duniani nawaza ninawatoto 2 nawaacha wapi ambapo watanisahau kwa haraka?
Baba yao yuko wapi?Naenda kwa rafiki nan na tumbo, na mtoto wa 3yrs, na mwingine miaka 10 anasoma
Inabidi tumchangie angalau ataanza kukaa sawa au tumsake huyo mpuuzi anaemsumbua tumataitishe aseme kwanini anataka kusababisha maafa?Huyu madam kaanza kulalamikia mapenzi tangu 2014 huko,kwa kuangalia nyuzi zake
Upendo wako unaweza kuhamishia kwa watoto wako...focus kwenye kazi,afya yako na watoto wako,sali sana,jali muonekano wako na jitahidi kuacha hii tabia kama bado unayo Siipendi hii tabia, lakini nashindwa kuiacha
Pole
Soma hapa mkuu post #24Baba yao yuko wapi?
Inabidi tumchangie angalau ataanza kukaa sawa au tumsake huyo mpuuzi anaemsumbua tumataitishe aseme kwanini anataka kusababisha maafa?
Duh ndio niko huko huyu manzi ana mapepo live😁! She is possesed
Inabidi tumfariji kwa njia na namna zote wewe umejuaje kwamba pesa hazitomsaidia kuahirisha dhumuni lake la kutaka kujiua, hivi unajua chanzo cha wengi kujiua ni nini? Pesa inashika namba 1Hajaomba msaada wa pesa au labda kama unamjua personally
Inabidi tumfariji kwa njia na namna zote wewe umejuaje kwamba pesa hazitomsaidia kuahirisha dhumuni lake la kutaka kujiua, hivi unajua chanzo cha wengi kujiua ni nini? Pesa inashika namba 1